Wahasibu ,IT na watu wa kilimo wamekula shavu sana aisee kila mkeka wamoFani nyingine ajira zake ni kwikwi
Wahasibu ,IT na watu wa kilimo wamekula shavu sana aisee kila mkeka wamoFani nyingine ajira zake ni kwikwi
na wachumi mkuuWahasibu ,IT na watu wa kilimo wamekula shavu sana aisee kila mkeka wamo
Daah tunaishi kwa matumainiSIKU NDO INAISHA IVYO BILA PDF, NGOJA TUONE KESHO TENA itakuwaje.
Mzigo unaweza dondoka kesho na jumamosi
Leo kama siku imesha hvii
Leo labda watuonee huruma,,Mzigo unaweza dondoka kesho na jumamosi
Leo kama siku imesha hvii
Shukrani mkuu...hatuna namna..Nakupongeza sana kwa kukomaa na kuendesha maisha ya familia!! wewe ni shujaa!!
Duh ikuwa hivyo itakuwa msala aseeNa tunaweza kushangaa ikawa imeisha ivo mpaka august😂😂😂😂
Afu mwaka jana mwezi wa 8 hawakutoa placement hata moja🤔
Kidogo wamejitaidi leo pdf inaonekana sio za juzi pdf page 2Kamati ya pongezi ikae tayari
Yani MCHECHETO....au anawarusha ROHO JOBLESS...waone kama ni PDF MBILI NZITO..kumbe ni hiyo Hiyo.IT kapagawa karudia PDF 😅😅😅😅
Huyu IT mbinu zake za kuchanganya jobless ni za hali ya juuIT kapagawa karudia PDF
Waliolala jobless wakaamka watumishi wa umma,walete shuhudaKweli siku njema huonekana asubuhi, shuhuda wakuu.