Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

Bora lingebaki tu,game ya kwanza imeisha 3-3 Yani kwa lugha nyingine Kama wametoka 0-0 tu,Ina maana gani??tupambane ugenini tupate 3 halafu tunarudi home tunaanza na 0??
Kiufupi huko Mambele hawayaki ushindi wa kanuni, ushindi wa makaratasi. Yaani tumetoka 3-3 unaniambia nimetoka na mzani umebalansi.
 
Uefa kuanzia mwaka Jana kama sikosei walishafuta ujinga wa goli la ugenini
Kumbe, hata mimi hili swali nimejiuliza sana baada ya man city kutolewa, nikakosa jibu, kumbe sheria imebadilika.
 
Hapo kukujibu ni sawa na kukuambia Rais wa Tanzania ni nani.
Unajua hata kuwa na majibu mazuri kwa mtu asiyejua ni jambo jema mbele ya Allah.
Kumbuka tu kuwa kwenye jamii tupo watu wa aina nyingi. Wapo kina Mo na Bahresa na wapo machinga pia. Wapo PhD na wapo Std 7.
Wapo wanaojua zaidi mambo ya soka na tupo sisi tunaojua kiasi.

So far nimeona nieleze hivi ikusaidie kuwa positive katika social life.
 
Really Madrid bwana, wanajua wanachotaka kwenye boli.
Hii game walitusua dk ya 96(AET) kwa aggregate pale Bernabeu baada ya Chelsea kuongoza kwa 3 - 0 hadi dk ya 79, then wakapaki Bus. Chelsea ilikuwa kwenye ubora ila ilizidiwa mbinu.

Baada ya Game Luka Modric akasema Mojawapo ya game ngumu kucheza ni dhidi ya Chelsea

Siku zote Madrid anakuwa na mahesabu makali sana ikifika KO ya UCL
Screenshot_20240419-145415.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom