Kwanini gari aina ya Nissan X-trial used zinauzwa cheep sana?

0897

Member
Feb 25, 2022
38
90
Mama vp wakuu Mwenyewe uelelewa wa hizi gari aina ya Nissan X-trial maana naona watu wanaziuza kwa bei cheap sana?

FB_IMG_16543662502927672.jpg
 
Mama vp wakuu Mwenyewe uelelewa wa hizi gari aina ya Nissan X-trial maana naona watu wanaziuza kwa bei cheap sana?

View attachment 2250595
Zina demand ndogo sana kwenye soko la second hand cars kwa Tanzania kwa sababu inaaminika kuwa ni mabovu (mafundi watakwambia ni mabovu sana, na watu wengi watakwambia hivyo). Pia, spare zake ni bei ya juu kuliko spare ya Toyota. Tatu, hizi gari mafundi wanaoziwezea wako wachache ukilinganisha na gari za Toyota, hivyo ikizingua unaweza ukahangaika sana na labda usipate kabisa fundi atakaemaliza tatizo lako, au ukapata fundi wakiwa wameshaliharibu sana. Sababu hizo hufanya demand yake kuwa ndogo sana, hivyo kusababisha bei yake kuwa chini sana zinapouzwa mkononi.
 
Aaaah apo nimekupata vizur mkuu
 
Sema nahisi ni perception. Watu wanazo wanadunda nazo mkuuna mimi nsitolea macho but 2009 model
Mkuu na Mimi Kuna watu wengi tu nawajua wanalo(T30,1st Gen) tena No. A kabisa na yanapiga kazi kama kawaida.Na Kuna wawili wao walitumia xtrail baadae wakauza na waka agiza xtrail Tena,nadhani ziliwanogea Sana.Nadhani wanafuata Masharti yake yanayotakiwa Kama vile kutumia engine oil sahihi(sio mambo ya kutumia SAE-40,Gearbox oil sahihi,kutumia coolant na sio maji kwny rejeta etc
 
Wabongo tunakalili sana ndo maana.
 
Nissan xtrail ni gari poa ili mradi unazingatia service yake. Nissan xtrail ya mwanzo zinakuja na traditional Automatic gearbox/transmission.. na inatumia transmission fluid ya matic J na oil ya engine inatumia viscosity rating ya 5w-30 hata 10w-40 fully synthetic oil inafaa.. hii Gari una change transmission fluid after every 30,000km, na engine oil prefer kuchange after every 3000km hata kama ni synthetic (watu wengi DSM wanaangalia kilometers kuchange oil wakati kuna muda engine inaunguruma muda mrefu bila gari ku move so hii pia inachosha oil ndo maana nasema change after every 3000km) vitu vingine ni kawaida ingawa bei kidogo ipo juu na bei ni juu kwakua wauzaji wengi bongo wana overprice hizi fake parts inagawa wabongo husema ni genuine...

Kuna some spares za suspension because of their design inafanya iwe expensive..mfano ball joints.. design ya ball joints za Nissan extrail inafanya kama ball joints zimekufa inakulazimu kununua wishbone nzima... Kwa case hii nunua used maaana za dukan ni junk..

Kuhusu brake downs za hii gari hao watu wanaosema ni gari mbovu ni wanazungua hawajui kuzitunza wala hawafatilii kujua how to live na Nissan extrail.. but nj good car mkuu
 
Hii gari imefeli mno kwenye majaribio ya kiajali, body frame yake ni karatasi, it's not a safe car hasa kubebea family. Kama fedha sio tatizo nenda na Toyota
 
Nissan xtrail ni gari poa ili mradi unazingatia service yake. Nissan xtrail ya mwanzo zinakuja na traditional Automatic gearbox/transmission.. na inatumia transmission fluid ya matic J na oil ya engine inatumia viscosity rating ya 5w-30 hata 10w-40 fully synthetic oil inafaa.. hii Gari una change transmission fluid after every 30,000km, na engine oil prefer kuchange after every 3000km hata kama ni synthetic (watu wengi DSM wanaangalia kilometers kuchange oil wakati kuna muda engine inaunguruma muda mrefu bila gari ku move so hii pia inachosha oil ndo maana nasema change after every 3000km) vitu vingine ni kawaida ingawa bei kidogo ipo juu na bei ni juu kwakua wauzaji wengi bongo wana overprice hizi fake parts inagawa wabongo husema ni genuine...

Kuna some spares za suspension because of their design inafanya iwe expensive..mfano ball joints.. design ya ball joints za Nissan extrail inafanya kama ball joints zimekufa inakulazimu kununua wishbone nzima... Kwa case hii nunua used maaana za dukan ni junk..

Kuhusu brake downs za hii gari hao watu wanaosema ni gari mbovu ni wanazungua hawajui kuzitunza wala hawafatilii kujua how to live na Nissan extrail.. but nj good car mkuu
Nimekupata kiundani zaidi mkuu barikiwa sana kwa elimu nzuri
 
Mkuu na Mimi Kuna watu wengi tu nawajua wanalo(T30,1st Gen) tena No. A kabisa na yanapiga kazi kama kawaida.Na Kuna wawili wao walitumia xtrail baadae wakauza na waka agiza xtrail Tena,nadhani ziliwanogea Sana.Nadhani wanafuata Masharti yake yanayotakiwa Kama vile kutumia engine oil sahihi(sio mambo ya kutumia SAE-40,Gearbox oil sahihi,kutumia coolant na sio maji kwny rejeta etc
Mwenyewe nataka nijilipue mkuu
 
Back
Top Bottom