Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,777
- 3,614
Duh!!! Aisee washanikata stimu ya kula nyama...!!!
waijua chakacha wewe.......?
Na ukiwa unaenda msalatoni nayo unasimama? Jamani Mombasa...kuna order za aina mbili,lol!
njoo kwetu Idweli uonje mishikaki ya popo
Chakacha ndio nini?
Mombasa raha.....
waijua chakacha wewe.......?
naaam!Mombasa raha.....
Mate yamenidondoka
dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Hata mimi nilidhani ni yale......dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....