Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,262
- 12,890
Nina ufungua uzi kwa kumtambulisha huyu kamanda kwa namna hii.
Farid Kubanda alizaliwa August 13 katika hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza. Sababu mtoto kwa mama hakui alilazimika kulelewa na bibi yake na ilikuwa ngumu sana kwa bi mkongwe huyu kugundua ndoto za huyu mjukuu.
Mara kwa mara alimkuta kufungulia mziki halafu kama anaongea peke yake hivi, bibi alihisi labda jamaa ana matatizo ya kiakili na kuamua kumripoti kwa mama yake mapema kabla haijawa aibu mbele ya elimu za kila tawi, hawakujua, hawakujua, huyu hapa.
Hiyo ni sauti ya Salama Jabir kwenye mkwaju wa Agosti 13 akimtambulisha farid kubanda a.k.a Fid Q.
Happy birthday kwa King wa Bongo Hip hop 🍥✨. Naisindikiza na huu mkwaju wako wa wananiita King ft Nylon.
[fid Q]
nnapo'flow ka slow motion, ni soo utadhani abortion
natokea lake victoria, flow zaidi ya indian ocean
na'make hit songs, bila msaada wa promotion
huku na speed mother tongue, Mic nai'grab kama voltures
nipo deep zaidi ya blue sea, beef sifagilii
mie A wao Z'ee mashine nawapiga ka Bruce lee
wanang'ong'a mchana kutwa usiku wanakesha wanan'soma
eti nalongaga tu mistari, mikali huku naogesha goma
wakati ya kwao, waisifiayo mikali sijawahi kuiona
tena na tena wakipata zero wataitwa selfish
wawe wema wanaponi'miss, mi ntatenda zaidi ya segment
na roho kama christian adui naeza mgeuza red brick
na'punch zaid ya boxing ring, ma'emcee ni kama dustbin
wapo fake kama wedding ring ya whitney na bobby
cheki nnavyolipuka kama wafuasi wa Bin laden
cheki ninavyoibuka, again and again
sijisifii kuwafunika, emcee naheshimika
utii nahitajika, sisikii nnachoandika
wanaingia mitini kama Tarzan
Nnacho heshimu mimi ni yale maji ya hamsini ya azam
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]

[ Nylon ]
Nilianza kama masihara sasa na'make dollar
ni mwanajeshi nalo ni mchizi wanula kito
mpaka leo mi bado nipo
wengi wanautaka ufalme
Mi ndo kidume
wanafikiri kazi rahisi
wana ji'cosmetic fair
wanajipuliza perfume huku bado wananuka
wanajishangaa
wanapanda, wanashuka, wanapanda, wanashuka
nishazoea ki'hustle kitaa na wala similiki duka
kidume na stick mwanzo mwisho kati sitoshuka
wanakumbuka shuka tayari kumeshapambazuka
aliye tangulia katangulia hata ukilia bwana mdogo
jifunze kuvumilia, sifi njaa nachoma kama njaa
mtaani nakubalika mi ndo chao kifaa
nashow love na machizi mi ndo chao kifaa
moyoni sina kinyaa wakati ule mpaka leo
hivo nilivyo mimi haswaa
ndivyo nilivyo mimi haswaa

siwezi kuutaka u'Michael Jackson, lakini u'Fid Q unnalipa
so sana kama Mike Tyson, lakini naamini ntashinda
ukinichukia, huku unanichekea, nitakuacha unalia
Kimbia nnapotembea, ka' unataka kunifikia
niko fresh kama cucumber, Mjeshi bila magwanda
Cheki nnavyotambaa, kama TMK na mapanga
Nmepita mass kibao kama yule wa Uganda
Mwanza mwanza rum father utadhani Jeru the Damaja
Unasema eti ni njaa hiyo itakata kama ramada
Ninashindana mwenyewe sababu hakuna challenger
Motherland na'represent ka babaloo canada
kichaa kama ace payne, smart zaidi ya florida
ah ah you cant tell me nothing
kabla ya kukupa mkono kwanza naitemea mate
kujua ku'rap haimaanishi naijua Hip Hop
Unapoongea chap sio lazima u'Tongue twist kama twister
nliipoanza mziki sikujua fedha itauharibu
sikujua, mabinti wengi watataka ukaribu
Tunashindwa kujiamini kiasi cha kukosa chaguo
unapoisweka kabatini, kwamba dili kama nguo
ni hali halisi sio dharau na ni kweli mziki ni uhuni
Mzazi muombee mwanao mashetani yasimrubuni
Nilipo na nilipoanzia, sipo ninapohitaji nibaki
Pia sihofii kupitwa ili mradi muda usiniache

[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kummkimbiza tyson]

Fid itabidi atueleze mashabiki zake siri ya mchezo ya yeye kuweza kumaintain ndani ya game kwa zaidi ya 20 years till now kama ngoma yako inayoitwa siri ya mchezo ft juma nature.
Verse 1:
Nilipotoka mbali na ninaheshimu nilipo
sikuwa na umuhimu kihivyo stimu zikanipa elimu ya Biko
Kimaandiko kimistari.. hadi fans wanascream nikirap..
sikuamini kama nina zali mpaka nilipoidream hiphop
Wanapagawa. Na baadhi ya mambo nayoyajua..
pia nina uwezo wa kufanya mpaka madawa yanaugua
Wanapagawa na nyimbo ngumu hawa #teamMabiiitoz
Achana na power window.. sijui rimz za dimpoz
haileti bingo, mshiko? Star ishi simple
sanaa iko hivyo sometimes.. hukataa kukaaa ulipo
wanaodharau.. hujiletea matatizo..
hawajui kama wadau hupendelea kukuona hivyo?
bonge la staa.. donge la njaa.. hauna kitu
jikombe ugongwe mtaaa ukuone hauna ishu
ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa
mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda
Usmati anaotinga, majumba mandinga
ya bwana Almasi.. je hizi track za harakati ni ujinga?
HAPANA.... nguvu ya mamba ni maji
na umaarufu au kutamba.. kushika namba ni bahati
sio kipaji kama Kubanda eti unachana kigumu
kisa track ikivuma sana kwenye chati haidumu
Amani kwa chachage na MAKUWADI wa SOKO HURIA..
baba asante kwa UTAFITI na ZAWADI ya ALMASI ya BANDIA
NYUMBANI nasikiliza DUNIA YA SASA ya MARIJANI..
najiuliza tutarithi nini ikiwa IMANI ishakwisha tangu zamani?
labda kubisha na wakinitisha najihami..
inasikitisha unapoibiwa na aliyekupigisha ni jirani
Pole MAPROSOO( uhujumu --uchumi ) umefanya umetubu..
WAZEE ni wahuni hadi soo waay back before SUGU
Taifa la kondoo.. huendeshwa na serikali ya Dubu
na MBWA MWITU wenye siri.. ili bepari umuabudu
kimahakama, kiserikali, kidini umsujudu..
huo ni utumwa pia
Unafanya vijana wanaumia..
Tunaishia kufia mabatani kama nzi ndani ya glass ya bia..
CHORUS: (Juma Nature)
Siri ya mtungi aijuaye kata..
komaa kaza.. kisha utapata x2
Siri ya mchezo naijua mimi..
tu.. na hakuna mwingine x2
Verse 2:
Tofauti ya BIASHARA na SIASA ikila hasara inaweza buma
wakati SIASA kila mara ukiwa unang'ara ujue kuna.. kinara
anayeunda msafara wa wanaojituma
na kuchuma kwa kukufanya uwe imara hapo hasara hakuna
KIDUMU CHAMA CHA MASELA Ukoloni mambo leo umetupa uhuru wa bendera,
tuone kufuru za wenye hela
TANZANIA ni demu wa mtungo wanamuiita CHA WOOTE
HANGOVER .. anaikimbia kwa kupiga mtungi saa zote
Mkubwa anazuga atasolve matatizo ya nchi yake
na gari bovu.. halisukumwi kwa kukaa ndani yake
MAENDELEO ni ile ndoto..MWEZEKAJI ashaipuuza..
je Kukaa karibu na moto ni kuuota au kujiunguza?
hakuna UHURU wa kweli msidanganywe na illusion
na daily tunafeli sababu ya POLITICAL institutions
CIVILIZATION imeadvance sasa wanatuua economically..
hakuna utumwa mbaya kama ule wa kujiona uko free
Kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguu
kila ganda litakutoa machozi na utabaki macho juu
Ukishafika kwenye kiini niambie nini utagundua?
zaidi ya mafaili yaliyounganika utaghairi kuyafunua?
Wamejivisha U-NOAH.. SAFINA zao zikatoboka
Wakajivisha U-MUSSA.. FIMBO zao hazikugeuka NYOKA
Sasa wanaujaribu U-MUNGU MTU kuamua nani leo atatoka!?
CHORUS: (Juma Nature)
Siri ya mtungi aijuaye kata..
komaa kaza.. kisha utapata x2
Siri ya mchezo naijua mimi..
tu.. na hakuna mwingine x2
Happy birthday Fid Q nakusindikiza na hii mikwaju kutoka kwako:-
i, Mwanza
ii, August 13
iii, Propaganda
iv, Ripoti za mtaani
V, Siri ya mchezo
vi, Usinikubali haraka
vii, Temanoleji
Viii, Wananiita King
ix, Nyota ya mchezo
X, Iam proffesional
Xi, Ielewe mitaa
Xii, Sihitaji marafiki
Xiii, Bendera ya chuma
Xiv, Bongo Hip hop
Xv, Walk it off
Mingine mtaongeza makamanda😎
Muwish Birthday ngosha kwa mikwaju mikali unayo ielewa toka kwake hapa chini⏬