Black poison The Factor
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,031
- 1,491
Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale, kuanzia bendera, Rais, Jeshi, mahakama na kila kitu.
Na sijawahi kusikia fungu limetoka Zanzibar kuja huku panapoitwa bara, ila ni fungu kutoka bara kwenda Zanzibar.
Mwalimu alikuwa anachanganya michanga bila ya kuwazia miaka ya mbele zaidi.
Sasa Mimi najiulizaga Tanganyika inanufaika na nini kwenye huu muungano?
Kama ni ile michanga ikamwagwe hata Somalia muungano ufe maana hauna mantiki.