Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

Karume alitaka serikali moja Nyerere awe rais yeye makamu lakini Mw. Nyerere alikataa.
Kabla ya kupost maswala Kama haya ni vizuri ukasoma historia ya nchi
Ukweli ni kwamba Zanzibar wamepoteza nchi yao,hata rais wao anapatikana Tanganyika, muungano ulifanyika jumapili, mwanasheria aliyeenda na karume magogkni alikua na madevu,akaambiwa akanyoe,kurudi muungano ushasainiwa,kumbuka hiyo ni siku mia na mbili tangu mapinduzi,aliambiwa Kama hasaini basi askari mia tatu wa Tanganyika wanaomlinda huko zenji wataondolewa,hii ni Kwa mujibu wa duru tofauti za mtaani na gazeti la dira la Ali nabwa na Rai,akaona aingie muungano kwa muda akishajipanga ajitoe,akapigwa risasi miaka nane baadae,Mara nyingi akisema muungano ni kama koti,likikubana unalivua
 
Back
Top Bottom