Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

Halafu brame ya watoto kwa walimu badala ya ninyi na mdada wenu .
 
Mke wako anajiandaa asubuhi mapema akatolewe lock na boss mtoto.
Screenshot_20240422-003829~2.png
 
Mnaendekeza sana mambo ya kuoana oana, ndoa ni utamaduni ambao kwa dunia ya sasa hauna tija. Unaacha mke nyumbani unawaza ataliwa na boda boda, unaruhusu aende kazini unawaza ataliwa na bosi, kwa nini ujipe presha zote hizo badala ya kufanya mambo ya msingi?
Usipo oa ukawa ana mpenzi tu hayo uliyosema hayatamkuta?
 
Ukishaoa au Kuolewa ukubali yote! Katika ndoa tunalindana lakini hatuchungani wala kufuatiliana!
Ni swala la kuaminiana tu!
 
Hii topic ngumu sana mkuu!

Kwa mtazamo wangu, ili mwanamke asiweze kuwa na mahusiano na mwanaume inabidi asiwe na ukaribu na wanaume. Akiwa karibu tu na wanaume udhaifu wake uwa wazi kwani huwa hawana uwezo wa kuficha udhaifu wao hasa stress. Wanawake wanapenda uonyeshe kumjari, uthamini uzuri wake, umsifie, mpe grade ya juu kulinganisha na wengine, na umpatie majawabu ya shida zake.

Ukiwa Boss unanafasi kubwa zaidi ya kuwa mzinzi kwani unakuwa na fursa ya kujua weakness za wanawake na kuwapatia suluhisho la changamoto zao. Ukimpa tu mwananmke safari tatu za maana, yeye mwenyewe anajileta kama mbwa kwa chatu.

Watu wanaopenda kurukia kila mwanamke wakijua tu udhaifu wa mwanamke, amekwisha. Haijalishi ni Hg, Profesa, Waziri au Gigi pesa, akiwa tu karibu naye, ana fursa ya kupafikia pale ambapo panafichwa.

Kutokana na udhaifu huu ndio maana shamba Boi alitembea na the best CPA, mlinzi alimla mtoto wa naniii, mlinzi alimla mke wa Zumaa na miss Tz mwenye scandal anapitiwa na watoto. Just ukaribu tu kila kitu kinafunguka.

Kwa kutambua hilo, Waarabu na washirazi huwa hawaruhusu mwanaume yeyote ambaye siyo ndugu wa damu awe na ukaribu na mwanamke.

Hivyo siyo kazini tu, hata sokoni nako ni shida. Pale kisutu sokoni na namanga mabuchani wana tambaa sana na wanawake vigogo. Wanasema nyungeza tu ya nyanya au nyama wanafanikisha. Hospital daktari akimsaidia tu asikae kwa foleni mara kwa mara anapewa. hivyo ni swala gumu.

Ingawa wapo baadhi ya wanawake hata uwe na ukaribu naye vipi anajirinda na atoi, wanalinda utu wao kuliko kitu chochote.

Mungu atusaidie tuishinde dhambi hii
 
Mbona povu?
Subiri yule mama nanilii wamjaze mimba ndio utaamini ninayosema.
Sisi tuliooa wamama wanaolea watoto vizuri nyumbani hatuna shida watoto wetu wote wamefanana na sisi lakini mtu aliyeoa mke mfanyakazi possibility ya mtoto kufanana na baba yake ni 33%
Mwanamke kama mgongeshaji hata akikaa home 24/7 anagongwa tu! Tumewaona wengi na tumewagonga sanaa!
 
Sasa wadada wasiojiheshimu wa kazini kwako ndio ujumlishe wote? Kama umeoa mwanamke wa hovyo ataliwa hata na jirani yako tena ndani mwako humo humo unakolala nae siku zote. Usikariri.
 
Hakuna cha msimamo wala tabia ya mtu, wanawake wote duniani wanafanana kama ilivyo kwa wanaume tunafanana kitabia. Mwanamke yeyote akijengewa mazingira tu kwisha. Wewe mwenyewe shahidi jinsi ulivyompata mke/mpenzi wako unajua.
Hapa umetuchana ukweli.
 
Hello!

Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini.

Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa.

Turudi kwenye mada.

Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa kachumbari hawaliki. Binti akipiga chenga anampa safari mchezo umekwisha.

Hakuna cha msimamo wala tabia ya mtu, wanawake wote duniani wanafanana kama ilivyo kwa wanaume tunafanana kitabia. Mwanamke yeyote akijengewa mazingira tu kwisha. Wewe mwenyewe shahidi jinsi ulivyompata mke/mpenzi wako unajua.

Mke anayeshinda nyumbani na kuwa busy mazingira ya kujengewa ili atafunwe si makubwa kulinganisha na hawa wafanyakazi.

Eti oooh mke wangu anafanya kazi kusaidiana majukumu, yaani umefilisika mpaka unataka usaidiwe na mke wako 😭😭😭. Hapo sijazungumzia ile relationship ya kawaida na watumishi wenzake. Mchawi lunch, nauli, na tuzawadi tudogo tudogo tu.

Najua inawauma, mutakuja hapa kujitetea oooh hata mama wa nyumbani analiwa na bodaboda, shamba boy. Nimewachana leo.

Mke wako anajiandaa asubuhi mapema akatolewe lock na boss mtoto.

Unamjua boss mtoto wewe?
Ni mkuu wa kitengo.
Kuna watu ambao nimewapiga na kitu kizito kichwani watakuja kujitetea ooohh umalaya ni tabia ya mtu binafsi.
Sawa basi tuseme hivi wake zenu sio malaya ila wanawake waliajiriwa ni malaya.
Akiwa nyumbani ndio anakuwa na muda wa kutosha wa kufanya hayo mambo kama amekusudia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom