Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,642
- 13,015
Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi.
Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na bayana kabisa, hapatakua na uzito wala tashwishwi yoyote dhidi yake. Tuwe wangwana, tuwe wakweli tu, mwenyekiti wa chama hicho kwa sasa, ana nafasi kubwa zaidi ya mtu mwingine yeyote ndani ya chama hicho, kupererusha bendera ya ccm katika nafasi ya urais.
Ana sifa zote stahiki na tukuka, ana uzoefu wa kutosha kuongoza nchi, ni mzalendo asie na shaka, muadilifu na makini sana. Kwakweli anakidhi vigezo vyote na masharti yote muhimu kulingana na katiba ya CCM.
Hali hiyo ya ushindi ndani ya CCM itadhihirika na kutokea pia kwenye uchaguzi mkuu, kutokana na hali unyonge sana kutoka kwa washindani wake dahifu sana na waliokata tamaa mapema sana. Na hiyo haitakua excuse ya ushindi wa kishindo, kwa mgombea wa CCM.
Kimbembe, songombingo za kabokamchizi, sarakasi na vitimbi vitakua kwenye nafasi za ubunge na udiwani.
Macho na maskio ya watanzania yataelekezwa huko, ili kujua mbivu na mbichi miongoni mwa wabobezi, wasomi, wanamageuzi na manguli mahiri ya siasa za ccm na tanzania kwa ujumla, wakichuana na kutunishiana misuli, kwa kushindanisha sera zao, mipango yao na mikakati yao katika kuchochea maendeleo ya wanainchi, na mbinu watakazotumia kudeal na changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinazowakabili wanainchi wa maeneo mahalia.
Uchaguzi huu muhimu sana wa nchujo au kura za maoni utakapokamilika, basi ccm na nchi kwa ujumla, kwa asilimia fulani itakua inapumua vizuri na imeshajua uelekeo wake kwa siku za usoni kuelekea uchaguzi wa kukamilisha ratiba.
Watakao fanikiwa kuchaguliwa na kuteuliwa kwenye kura za maoni, kupeperusha bebdera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu, kwa nafasi za udiwani na ubunge, wataungana na mgombea uraisi madubuti na makini sana wa CCM katika kukamilisha ratiba ya uchaguzi mkuu kwa mujibu wa kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi; kwa kupambana na washindani waliopo ambao ni wanyonge sana, na wengi wao pia wanalenga tu kutimiza haki yao ya msingi ya kuomba kuchaguliwa na ndoto zao za muda mrefu, za walau hata kugombea tu uongozi katika uchaguzi mkuu, regardless ya kushindwa vibaya, na kukamilisha ratiba ya uchaguzi kikatiba.
Katika chaguzi za mchujo zilizopita, ndani ya ccm hali hii hujitokeza, lakini mwaka ujao wa uchaguzi ndani ya CCM, hali itakua ni moto sana na kwakweli patakua hapatoshi, itakua ni patashika nguo kuchanika.
Hakuna lelemama hata kidogo ndani ya ccm imara, jipange.
No retreat no surrender