Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 8,560
- 11,869
Kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa nchini, ni dhahiri mgombea urais wa chama Tawala yuko bayana na anafahamika kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla, ni suala la muda tu waamue...
Kizungumkuti na kasumba iko upinzani, kwa mfano tuliona majuzi kabla ya uchaguzi hapo DRC, wapinzani mara waende retreats South Africa, mara workshop, mara seminar ambazo zililenga kuamua mgombea urais moja kutoka upinzani.
Cha kusikitisha, hadi uchaguzi unafiki hakuna maafikiano baina yao, hali ya kua mgombea Urais wa chama Tawala anafahamika nchi nzima miaka mi4 kabla ya uchaguzi. wagombea upinzani wamejulikana siku 90 kabla ya uchaguzi...
Naliona hili likitokea pia Tanzania siku 90 kabla ya uchaguzi ndio mgombea urais wa upinzani anajulikana kwenye nchi kubwa kama Tz.
Anyway, kwa maoni na mtazamo wako, ikitokea upinzani Tanzania wameafikiana kusimamisha mgombea Urais wa pamoja, unadhani ni mgombea yupi mzalendo asie na shaka, anaeaminika na wote, anakubalika na wote na anaeweza kupewa jukumu la kuwaongoza wengine na kupeperusha bendera ya upinzani uchaguzi mkuu ujao2025🐒
Hata hivyo, ifahamike bayana kwamba, kuna kila dalili wapinzani wengi kumuunga mkono mgombea urais wa chama Tawala uchaguzi mkuu ujao...
Mungu Ibariki Tanzania