Inawezekana tu, hata Mimi nilianza kusoma certificate
Ukitaka usianze na certificate nayo inawezekana?Inawezekana tu, hata Mimi nilianza kusoma certificate
Haiwezekani ni lazima kuanzia certificate .Ukitaka usianze na certificate nayo inawezekana?
Ooh!! sawaHaiwezekani ni lazima kuanzia certificate .
diploma ndo certificate labda huelewi maana ya certificate utapiga miaka mi 3 lazima ndani yake kuna NTA Level 4,5 na 6Wakuu habari za majukumu.
Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
Wakuu habari za majukumu.
Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
Hapana Unaweza kuanza diploma bila ya kupitia certificate kama una vigezo vya kujiunga diploma ambavyo nadhani ni D 4 kwa kozi nyengine ila afya unatakiwa uwe na B ya kemia , B ya biology C ya physics C ya hesabu na C ya english kama sikosei .Haiwezekani ni lazima kuanzia certificate .
Diploma si certificate mkuu certificate ina level 3 na unasoma kila level moja mwaka mmoja na diploma ina level 3 pia ambayo kila level ina mwaka mmoja pia.diploma ndo certificate labda huelewi maana ya certificate utapiga miaka mi 3 lazima ndani yake kuna NTA Level 4,5 na 6
nafikiri umejijibu kwamba certificate ina level 3 ndo diploma, kumbuka hapojuu nilisema ili upate diploma unapitia NTA level 4,5 na 6 kwa mtu wa form four mwenye zaidi ya D 4 kwa vyuo vya kati siyo VETADiploma si certificate mkuu certificate ina level 3 na unasoma kila level moja mwaka mmoja na diploma ina level 3 pia ambayo kila level ina mwaka mmoja pia.
Kwa mfano kwa kozi za uhandisi kuna level 4 =basic technician, level 5= technician/qualified technician 6= diploma
Afya unaweza kwenda kusoma diploma unaanzia level 4-6 chamsingi uwe na D4 za sayansi yaani physics,chemistry na biology, ukiwa na D ya english na hesabu hizo ni za nyongeza tuHapana Unaweza kuanza diploma bila ya kupitia certificate kama una vigezo vya kujiunga diploma ambavyo nadhani ni D 4 kwa kozi nyengine ila afya unatakiwa uwe na B ya kemia , B ya biology C ya physics C ya hesabu na C ya english kama sikosei .
Kwa yeye ana hivyo vigezo ila sijajua kwa somo la hesabu na english.
Hesabu-C, English-BHesabu na english una ufaulu gani?
maana hayo mengine una vigezo .