Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,721
- 12,584
Mdau kasema ukosefu wa Wanaume "Baba" kwenye malezi ya watoto wa kiume ndio kunapelekea vijana kuwa na mahusiano na wanawake wenye umri mkubwa.
Nb. Dogo ana miaka 22 kampa ujauzito Mwanamke mwenye miaka 39.