Kuna mwenye wazo la kibiashara la mabaki kama mifupa, ngozi na vichwa vya samaki?

May 31, 2021
95
279
Habari wa jf

Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku.

Naomba mwenye uzoefu au kujua soko au fursa na kitu cha kufanya kupitia mabaki ya samaki.
 
Back
Top Bottom