Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

Nilisoma nae o level, nilianza kukamua tuko form two mwishoni, tulivyomaliza wote tulifeli ila yeye alifeli sana kwa kupata ziro mimi kombi tu haikubalance, kwakuwa kwao wanauwezo wakampeleka wakamwendeleza mimi sikuendelea ila nilibahatika kupata kazi nikatusua fasta baadae mapenzi yakazidi kwa kuwa nilikuwa na hela nikamuoa tukapata mtoto mmoja, miaka miwili baadae nikafukuzwa kazi kwa sababu nazozijua mimi, visa vikaanzia hapo wazazi wake hasa mama yake akaanza kuzingua, nikawa mpole coz tulikiwa na mtoto mdogo baadae nikatafuta kazi nje kabisa ya ule mkoa ndo ukawa mwanzo na mwisho wetu, nilimuachia kila kitu ila nikampola tu mwanangu mpaka sasa niko nae maisha yanaendelea, sitamsahau ibilisi yule.
 
Ibilisi ni wewe.......
 
Kuwanga wanga (a.k.a uchawi).

Mpenzi wangu alishindwa kuvumilia kabisa alipobaini hilo.

Dahh!!, sitasahau, iliniuma sana,lakini sikuwa na jinsi kwani ndio nilikuwa nimetoka kukabidhiwa mikoba na bibi.
 
Bla bla kibao, hakuwa na jema hata moja. Mengi aliyoongea ilikuwa uongo mtupu.
Hlf usikute ndio wewe umeamua kuja na id mpya. Km ndio wewe kaa ukijua dawa yako bado naiandaa ili ujue sio kila mtu ni wa kudanganya.
Hahahaaa. Pole sana ndugu yangu.

Mzima lakini?
 
Ila umeadimika. Aliyekuficha mwambie Mungu anamuona sababu hata huonekani.

Uwe na mchana mwema ndugu. Nilikukumbuka tu.
Hahahaj Emmy nipo tu mpenzi sema nini January hii lazima uwe na akili ya ziada ili mipango iende maana vyuma vimekaza haswaaa.
Nakumis pia, uwe na mchana mwema.
 
Hahaaa. Wacha kabisa my dear huu mwezi ni balaa ila nina imani tutaumaliza salama na kuanzia february mambo pia yatakaa sawa.

Ahsante sana mwaya. Ubarikiwe.

Back
Top Bottom