Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
789
499
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.

IMG-20240504-WA0011.jpg
#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
 
Moja ya magwiji ya siasa afrika mashariki na kati, nadhani idara ya siasa chuo kikuu cha Dsm iandae mradi kwa kushirikiana na wachapaji kama Mkukinna Nyota, wawe wanaandaa vitabu kwa kushirikiana na ma-giant ya kisiasa kama Kinana, kwa kumbukumbu na kupasisha welwdi kutoka kizazi, kwenda kizazi, hata kama cha Mtei kikiwepo sawa
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.

#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
Akapangue hoja za Lisu
 
Ajue kabisa muungano huu umekaa kinyonyaji,aje na majibu ya maana sio propaganda na upotoshaji.

Suala la ardhi,kazi katika utumishi wa umma tunataka usawa ndani ya jamhuri ya muungano
 
Kila watu wafanye kazi kwenye nchi yao, wajenge nchi yao, ujanjaujanja ufike mwisho sasa
 
Moja ya magwiji ya siasa afrika mashariki na kati, nadhani idara ya siasa chuo kikuu cha Dsm iandae mradi kwa kushirikiana na wachapaji kama Mkukinna Nyota, wawe wanaandaa vitabu kwa kushirikiana na ma-giant ya kisiasa kama Kinana, kwa kumbukumbu na kupasisha welwdi kutoka kizazi, kwenda kizazi, hata kama cha Mtei kikiwepo sawa
Magwiji wa siasa huwa hawategemei kubebwa na dola.
 
Moja ya magwiji ya siasa afrika mashariki na kati, nadhani idara ya siasa chuo kikuu cha Dsm iandae mradi kwa kushirikiana na wachapaji kama Mkukinna Nyota, wawe wanaandaa vitabu kwa kushirikiana na ma-giant ya kisiasa kama Kinana, kwa kumbukumbu na kupasisha welwdi kutoka kizazi, kwenda kizazi, hata kama cha Mtei kikiwepo sawa
Duh
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.

#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
Lissu kawatoa shimoni hao panya!!!

Makonda aliwapigania wakawa wanagonga mvinyo tu!! Sasa hakuna cha Nchimbi wala Makalla, Kinana inabidi afanye kazi japo naamini hawezi kujibu hoja za Lissu
 
Back
Top Bottom