"Kill all negative people around you", I will be your lawyer at the court

Kweli kabisa,ila anza na hapa jf forum kwanza..a lot of them na wanaaminishana sana
 
I call it a spade,watu negative hatuwezi wakwepa mjini humu sana sana ndio maswahiba wetu,akili kichwani ujue unatokaje unaeza ishi na positive mind hata ndani ya nyumba yako lakini kama akili imeganda sahau mafanikio.
 
Madame B

Yes my dear,Wengine mkipanga mkutane muongee mnainvest wapi ili mjiongezee kipato hawatokei.
Ila ukiwaita kwenye kula Bata watakuja mbio mbio.
 
Last edited by a moderator:
MankaM

Kabisa Dada yangu, wengine ni ndugu zetu so huwezi ukawakwepa totally, but ishi nao kwa akili!!
 
Last edited by a moderator:
lara 1
Nakupendaje shosti!! Yaani unawatumia NEGATIVE PEOPLE for benefit, but for how long u'll entertain them?
 
Last edited by a moderator:
Nakuunga mkono asilimia 100 yan ukikaa na watu basic ur likely to be the same
 
Back
Top Bottom