"Kill all negative people around you", I will be your lawyer at the court

Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
879
990
Huu ni ujumbe wangu kwenu wana-MMU wenzangu.

Kuna baadhi ya level huwezi kufika kuna mafanikio huwezi kuyafikia,kuna hela huwezi kuzipata kama umezungukwa na watu basic.

Kuanzia asubuhi mpaka jioni wanaongelea watu tu, fulani kamegwa na yule, halafu yule naniliu saivi anatembea na yule mpenzi wako wa zamani wa nanii, asubuhi mpaka jioni discuss people.Hawa ndio watu basic hata siku moja hawatakupa ushauri kuhusu how to reseach somewhere never.

Na ukionekana unaanza kufanya vitu epic watakugeuka kwamba unaringa,unajisikia,umewatenga,unajidai una hela.and lots of bullshit.Pengine ulipaswa kuwa mbaaalii kibiashara lakini huwezi cause umezungukwa ni mbaazi tupu, Basic people ukiwaambia umesikia kiwanja kinauzwa Kigamboni wanakwambia "Kigamboni watu wanatapeliwa kuna mradi wa Joji bushi"

Ukiwambia unataka kujiunga Trevo wanakwambia "unaliwa hela" Ukiwaambia kuna SACCOSS wanatoa mikopo unataka uchukue ujenge wanakwambia "Interest zake utashindwa na kujenga sio mchezo shosti".Unaamini unaacha. Nataka kufanya Kitu flani wanakukatisha tamaa.

Unahitaji kuzungukwa na watu wenye positivly energy ambao ukiwambia unataka kwenda Mbinguni kwa kupitia Mkuranga wanakuchangia nauli.Niliposema na mpango wa kuacha kazi watu ohh utakula nini utaishije,mji mgumu huu.

Wenzio wanatafuta kazi we unaacha utalosti who said, nitadunda kama kawaida gari inatembea kama kawa na business zinaenda kama kawa,negative people you down. Ukitaka kupaa kaa karibu na ndege wewe unataka kupaa unakuwa rafiki wa nyangumi unazamishwa sasahivi

Tangu nianze kukaa na watu Positive I have changed a lot.Nikiwaza jambo wanauliza how do we archieve this na sio fulani aliwafanyia hivi akafeli. Kill all negative people around you kama unataka malengo makubwa,Iwill be your lawyer on the court na mwambie Hakimu nilikutuma mimi.Time to delete all negative people basic people.

Ikikusaidia chukua hatua.
 
Uko sahihi kabisa.Imenisaidia, naichukua.Ila siku zote nawaambiaga hata rafiki zangu, tutafanya kila kitu, ila wajue kila mtu na akili yake,wakichukia na wachukie tu.
 
I LOVE ALL THE NEGATIVE PEOPLE IN MY LIFE! They make my life so much easier! POSITIVITY GOES WITH GREED HAND IN HAND.
Mambo yako yanaweza kuwa hayaendiii kinomaaa, leo inakuwa bora ya jana, mpaka unafikiria now i am going die, then suddenly unapokea simu flani bwana haongezewi mkataba, au kfukuza, all of the sudden you feel 200 times better.:lol:. Au mahusiano yako mabovu mabovu, mara unasikia couple flani is no more1 Unajisema whuuuuuuuuuuuuuuuuu! Now i will have that beer.

Pia napenda negative people wanavopenda putting your a.ss on the line. Wao wanakaa nyuma yako na kukutoa kafara. Yule bwana unamuwezaaa kabisaaaa. Kale tu hata mkononi hakajai. Bwana Bosi kitu gani kazidi yule kampe kubwaaa.

And they have a way to draw strength within you never thout you ever had. Ile kazi wanasema hupati. Damn intervew utavoijibu vizuri achaaaa. Au flani kasema usipopungua huwi maid. Utashinda siku 5 husikii njaa just kufikiri the humiliation ya kunyimwa u maid.
 
Kuna ukweli kiasi flani kwani ukitaka kunukia kaa karibu na manukato si kitu hata usiponunua lkn ka harufu kazuri utaondoka nako.
 
Thanks Lady Ra, and i've already killed them all though no positive people around me either, am all alone and am happy!
 
Last edited by a moderator:
The Boss
Why is that?

Are you that intolerant of other people's divergent point of views?

Or are you that closed minded that you don't want to hear anything else that's different from the way you see it?

How else can you learn from others if you don't discuss and/ or debate people?
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu
But kuna vitu vingine ni ujinga to waste time talking vinahusu zaidi certain beliefs za watu kama mtu anaamini lazima mwanaume awe na pesa ndio am date why waste time kumbishia na kama kuna mwingine anaamini kuna true love au hakuna true love online.

Why waste energy kubisha mwingine anaamini cheating is inevitable ,mwingine anaamini cheating is unforgivable ili mradi it is pointless now ku waste a lot of energy kumuaminisha mtu your point of view is the right one
 
Last edited by a moderator:
The Boss

Oh, nimekupata na nakubaliana nawe.Na ndo maana mimi huwa hunioni sana kwenye kubishania mambo ya dini na mengineyo kama hayo ya imani.
Imani ya mtu utaibishaje?Ambacho labda unaweza kubisha ni hiyo imani kudaiwa ndo uhalisia wa mambo.Zaidi ya hapo kila mtu ni rukhsa kushika imani atakayo.
 
Last edited by a moderator:
Kutegemeana kupo!
 

Attachments

  • 1424398879931.jpg
    1424398879931.jpg
    14.9 KB · Views: 161
  • 1424398923141.jpg
    1424398923141.jpg
    27.3 KB · Views: 158
Lazima wakukatishe tamaa yaan ufanikiwe wakati wao maisha yao no change,that are jealous peple
 
Back
Top Bottom