Kenya inatumika sana kwa tanzania sema ujasusi umelala kwa ufupi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,751
9,024
Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa.
kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko.

Umoja wa afrika mashariki ulivunjwa na kenya ili kuizorotesha tanzania baada ya kuona kila jambo linaweza kuwa tanzania.

Kenya imekuwa ikutumia mbinu kubwa mfano utalii,biashara n.k kwa mgongo wa tanzania.

Naeleza ili sababu kuna mambo mengi kama ukisafiri jinsi wakenya wanavotembelea code zetu kuipa nchi yao nguvu kwa mgongo watanzania.

Usije shangaa kusikia Diamond anajulika ni mkenya
 
Mh spika nashukuru bunge lako tukufu kwakunipa nafasi ya kuchangia hoja napia nashukuru kwa serikali sikivu ya ccm kwakutuletea maendeleo makubw nchi nzima.mh spika tangia tupate uhuru wilaya yangu haijawahi kupata maji,barabara hakuna miundo mbinu hakuna,shule hazina walimu hosp hizina dawa.KWA AKILI KAMA HI UNATAGEMEA NINI
 
Huyu huyu christina shusho walishasema ni wao, wakaanza kumtamani na mrisho mpoto awe wao. Diamond ndio kabisaa walishampa offer ya kuwa raia wao kama tanzania itamzingua. Hawa manyang'au wanaonaga watanzania ni wafu hawawezi kujitambua
 
Zungumzia pia na upande wa pili kuhusu Tanzania na fursa zake
 
Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa.
kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko.

Umoja wa afrika mashariki ulivunjwa na kenya ili kuizorotesha tanzania baada ya kuona kila jambo linaweza kuwa tanzania.

Kenya imekuwa ikutumia mbinu kubwa mfano utalii,biashara n.k kwa mgongo wa tanzania.

Naeleza ili sababu kuna mambo mengi kama ukisafiri jinsi wakenya wanavotembelea code zetu kuipa nchi yao nguvu kwa mgongo watanzania.

Usije shangaa kusikia Diamond anajulika ni mkenya
Wana USALAMA WA TZ wanayajua zaidi ya hayo... 👍
 
Back
Top Bottom