Katika hali yoyote, Mwizi sio wa kuonewa huruma

Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi.

Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na umuhimu wa kitu.

Mwizi ni mwizi, hii mijitu sio ya kuonea huruma, popote nitakapo kuta kipigo cha mwizi, nitanunua kesi..

Hatuwezi kuhubiri masuala ya sheria mkononi na haki ya mtuhumiwa, haki ya mwizi ni kipigo cha haja.

Nasubiri kesi.
Shida itakuwa pale siku wewe au mtu wa karibu yako akisingiziwa ??? Ndo utajua maana ya natural justice
 
Wapuuuzi sana hawa jamaa.. Waliniibia kuku wangu wa kienyeji Banda zima.. Wakaacha vifaranga tu.. Hata sijui walimwachia nani..??
 
Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi.

Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na umuhimu wa kitu.

Mwizi ni mwizi, hii mijitu sio ya kuonea huruma, popote nitakapo kuta kipigo cha mwizi, nitanunua kesi..

Hatuwezi kuhubiri masuala ya sheria mkononi na haki ya mtuhumiwa, haki ya mwizi ni kipigo cha haja.

Nasubiri kesi.
Wezi wanaludsha sana nyuma
 
Back
Top Bottom