Katika hali yoyote, Mwizi sio wa kuonewa huruma

CONTRARIAN

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
922
2,795
Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi.

Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na umuhimu wa kitu.

Mwizi ni mwizi, hii mijitu sio ya kuonea huruma, popote nitakapo kuta kipigo cha mwizi, nitanunua kesi..

Hatuwezi kuhubiri masuala ya sheria mkononi na haki ya mtuhumiwa, haki ya mwizi ni kipigo cha haja.

Nasubiri kesi.
 
Usisahau na ile mijizi inotudhulumu haki zetu tunazostahiki kupata kutoka kwao. Nao pia walaaniwe
 
Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi.

Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na umuhimu wa kitu,

Mwizi ni mwizi, hii mijitu popote ilipo ilaaniwe, kuanzia leo popote nitakapo kuta kipigo cha mwizi, nitanunua kesi..

Hatuwezi kuhubiri masuala ya sheria mkononi na haki ya mtuhumiwa, haki ya mwizi ni kipigo na mauti.
Mimi nikikutaga wanapiga mwizi kazi yangu huwa ni kubana korodani kwa praizi hadi nisikie pwachuuuuuu.
 
Jee hawa wanaotuibia Kwa njiaa ya kalamu tunafanyajee afsaaa
IMG-20240405-WA0033.jpg
 
Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi.

Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na umuhimu wa kitu,

Mwizi ni mwizi, hii mijitu popote ilipo ilaaniwe, kuanzia leo popote nitakapo kuta kipigo cha mwizi, nitanunua kesi..

Hatuwezi kuhubiri masuala ya sheria mkononi na haki ya mtuhumiwa, haki ya mwizi ni kipigo na mauti.
Nasubiri kesi.

JamiiForums298906090_512x311.jpg
 
Kwanza laana haipo. Kumwadhibu mtu hadi kufikia kumuua kisa tu watu fulani wanasema ni mwizi bila uthibitisho ni uzezeta wa akili, watu wengi wanauliwa kwa kudhaniwa ni wezi kumbe sio.
 
Huyo unamuonea,

Shughulikia wezi wa kura.

Hao ndio chanzo Cha matatizo yote nchini.
 
Back
Top Bottom