Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,091
- 94,858
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba.
Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile ilikuwa sahihi, lakini sasa hivi dunia imehama hatuko huko tena kuna vita za kiteknolojia, haya makambi mijini ni useless kabisa.
Nimepita leo kambi ya gongo la mboto nimeshangaa kuona jeshi liko bize na ujasiriamali wa fremu za biashara kwa sababu kambi iko barabarabani hili siyo sahihi hii ni miradi ya watu wakubwa jeshini.
Gongo la mboto ni route ya magari mbalimbali ya safari za jijini lakini hakuna bus terminal, ni kwa nini kambi kama hii ya gongo la mboto isihamishwe na kupisha matumizi ya umma badala ya kugeuza eneo la jeshi kama mgodi wa watu flani?
Najuwa Rais hapendi kulikera jeshi lakini kwa hili hakuna manufaa yoyote kwa jeshi zaidi ya ulaji wa maboss wachache wa jeshi.
Muda wa kufumbia macho maovu na ufisadi kwenye jeshi letu umepita sasa ni lazima tuambiane ukweli, mama mulika makambi ya jeshi Dar, omba ushauri wa kisasa kwa Military analyst achana na wale wenye akili za kijima kwamba Zanzibar ni muhimu kwa Tanganyika kwa sababu za kiusalama, wewe waulize Iran aliporusha drones zake Israel alipitia nchi jirani?