Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Hata mimi sikujua kama ni mdau wa huo mchezo, mpaka mtoto wangu wa kike yupo Chuo, alipokuja kuniuliza, " baba nimesoma mitandaoni, kumbe Xxxxx ana **********.
Nilipofuatilia mdomo ulibaki wazi
Itakuwa huyo mtoto alishaambiwa na mama yake kuwa wewe siyo baba yake mzazi na wewe ni kubwa jinga na ndio maana basi alikueleza hayo.kwa sababu hapo alikuwa anaona anapiga story na mtu anayemchukulia kama mtoto mwenzake .ungekuwa na akili timamu ungetambua haya nayokuambia na namna mtoto huyo anavyokudharau na kukuona huna akili.
 
Hata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.

Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
sidhani kama balozi anaweza kuchukuwa hatua ya kumshtaki huyo mtukanaji huko marekani. Kwanza matusi yenyewe ni ya kiswahili, halafu kwa Marekani sijui kama inakwenda kwenye udhalilishaji.

Ila hawa ma IT specialists wetu hawawezi kufanya 'wikileak' style wakatoa majina ya wale wanaopeleka umbeya wa aina hiyo huko? Nadhani wakitajwa wawili watatu wengine kidogo watapiga breki.
 
Wakijulikana hakuna haja ya kuwataja bali kuwapoteza kimya kimya
 
sidhani kama balozi anaweza kuchukuwa hatua ya kumshtaki huyo mtukanaji huko marekani. Kwanza matusi yenyewe ni ya kiswahili, halafu kwa Marekani sijui kama inakwenda kwenye udhalilishaji.

Ila hawa ma IT specialists wetu hawawezi kufanya 'wikileak' style wakatoa majina ya wale wanaopeleka umbeya wa aina hiyo huko? Nadhani wakitajwa wawili watatu wengine kidogo watapiga breki.
Ktk bold nimejiuliza hata mimi..hapa issue sio mtukanaji wao wange deal humu humu ndani kutafuta wanapeleka matusi na habari kwa mtukanaji kisha kuwafinya
 
Magufuli alitukanwa mno na huyo mange ila humu ndani mulifurahi sana na samia nae akaenda marekani akaonana na mange wakapiga picha huku wanafurahi mno..... je kiko wapi leo? Kwangu ni dharau nchi kuongozwa na mwanamke
kama wewe ni 'male chauvinist p..' basi endelea hivyo tu hatuwezi kukwambia uwe otherwise.

Hata Magufuli alipotukanwa, au ye yote yule awe 'me au 'ke wengine tunasema siyo vizuri kutukana mtu na wala hatufurahii. Asilimia kubwa ya akina sisi hatukulelewa kumtukana mtu mzima hata kama amekosea. Ni nyinyi vijana wa sasa ambao mukikaa kwenye keyboard munajiona ndiyo mumewahi kwa vile hamuonekani.
 
Nina miaka 58 kiufupi wewe ni sawa na umri wa mkewangu
 
Wengi walikua hawajui kinachoendelea mitandaoni lakini baada ya makonda kusteal the show kwenye kumbukizi ya hayati sokoine ndo wakaanza kufuatilia hayo matusi, ni kama alichangia watu wajue ni matusi gani hao mawaziri wanalipa watu kumtusi raisi,zero brain ni zero tu,
Hakika
 
Magufuli alitukanwa mno na huyo mange ila humu ndani mulifurahi sana na samia nae akaenda marekani akaonana na mange wakapiga picha huku wanafurahi mno..... je kiko wapi leo? Kwangu ni dharau nchi kuongozwa na mwanamke
Anayefurahia kutukaniwa mama yake sio mzima huyo
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa
Pia kuna tetesi inayozunguruka JF kuwa habari hii si ya kweli.
 
Back
Top Bottom