Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Wengi walikua hawajui kinachoendelea mitandaoni lakini baada ya makonda kusteal the show kwenye kumbukizi ya hayati sokoine ndo wakaanza kufuatilia hayo matusi, ni kama alichangia watu wajue ni matusi gani hao mawaziri wanalipa watu kumtusi raisi,zero brain ni zero tu,
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa
Yaani kwa akili zako, bila kujali ni finyu au bright kiasi gani, ukisoma hiki ulichokiandika hivi inaingia kweli akilini mwako kwamba Kamati ya maadili inaweza kuandika hiki?

Au kwa kuwa ni CCM na kwa kiwa wameweza kumpa nafasi Makonda basi unaona wanastahili kulishwa maneno yoyote yale?
 
binafsi naona kauli ya makonda ndio iliwakumbusha watanzania kumuheshimu mama

na ni kama watu waligutuka flani kua haikua sawa kwa kinachoendelea
 
Mtahangaika sana tena sana na Mwamba Makonda. Naona Mwamba anawatesa sana vichwa vyenu nyumbu wa CHADEMA mpaka mnakosa usingizi. mnajuwa chini ya Mwamba mnakwenda kuambulia patupu katika chaguzi zinazokuja .
Siye tunazungumzia maslahi mapana ya Taifa wewe unaongelea UCHADEMA upo mwaka wa ngapi chuo maana akili yako bado haina akili
 
Hata mimi sikujua kama ni mdau wa huo mchezo, mpaka mtoto wangu wa kike yupo Chuo, alipokuja kuniuliza, " baba nimesoma mitandaoni, kumbe Xxxxx ana **********.
Nilipofuatilia mdomo ulibaki wazi
 
Katika Vita huwa kuna kitu kinaitwa propaganda. Enzi hizo Waingereza wakitoa shutuma kuhusu mambo waliyokuwa wakifanya maadui zao na kwa wakati mwingine wakitia chumvi kidogo. Maadui zao badala ya kutoa propaganda dhidi ya maadui zao, wao walijikita kujibu hizo shutuma walizorushiwa. Matokeo yake watu huko Ujerumani wakaanza kupata taarifa ambazo pengine wasingezijua kabisa na kuanza kuwa na wasiwasi kuhusu vita hiyo. Cha kujifunza hapa ni bora kukaa kimya kuliko kuanza kupinga yake wasemayo adui zako kwa sauti kuu kwani hata ambao hawakuwa na taarifa kuhusu mapungufu yako watazipata kwa njia hiyo.
Hiyo ndio busara mkuu,hapo ndio umuhimu wa elimu unapoonekana
 
Siye tunazungumzia maslahi mapana ya Taifa wewe unaongelea UCHADEMA upo mwaka wa ngapi chuo maana akili yako bado haina akili
Tangia lini ujinga na umbeya ukawa na kuitwa maslahi ya Taifa? Unajuwa maana ya maslahi ya Taifa au unaropoka tu kama mlevi wa gongo.
 
Yaani kwa akili zako, bila kujali ni finyu au bright kiasi gani, ukisoma hiki ulichokiandika hivi inaingia kweli akilini mwako kwamba Kamati ya maadili inaweza kuandika hiki?

Au kwa kuwa ni CCM na kwa kiwa wameweza kumpa nafasi Makonda basi unaona wanastahili kulishwa maneno yoyote yale?
Kuandika nini,angalia theme ya nilichoandika mimi mimi sijaambatanisha barua ya kamati ya maadili,nimeripoti tetesi zilizopo koridoni.
CCM na serikali hawakumtuma Makonda kuongea vile,yaani anezidi kumchafua Rais badala ya kumlinda asichafuke
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia

hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa
Wale mawaziri kina Januari wao nawajaonywa? Wenye akili tumeshajua ni kweli wahuni walifadhili ili mama atukanwe
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia

hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa
lukas mwashambwa ukuje hukuuu kumuokoa mumeo bashiteee
 
Hata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.

Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
Kila mtu hufanya mistake, ataifanya tu huyo mtu huko Marekani na atajikuta kwenye 18.
 
Hata mimi sikujua kama ni mdau wa huo mchezo, mpaka mtoto wangu wa kike yupo Chuo, alipokuja kuniuliza, " baba nimesoma mitandaoni, kumbe Xxxxx ana **********.
Nilipofuatilia mdomo ulibaki wazi
Yani wewe kama Baba halafu unakuja kuhadithiwa vitu vya aina hiyo na mtoto wako wa kike!
Kuna kitu hakipo sawa kati yako na huyo Binti yako,jitafakari kisha badili aina ya malezi kwa huyo Binti yako kama utakua bado hujachelewa.
 
Back
Top Bottom