Kahama VS Njombe/Mafinga

Uwekezaji robo ya Q3 ya Mwaka ,Njombe is on πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20240509-121138.jpg


My Take: Njombe imepata miradi 5 yenye Dola Milioni 94(zaidi ya Bilioni 230).
 
Ofisi za Emirates allumiamu profile nyanda za juu kUsini zimefunguliwa mbeya cc na makambako tc makampuni yanacheza na fursa ya jiografia
1712095725449.jpg
IMG_20240509_154624_628~2.jpg
 
Reli ya tazara kuunganishwa na reli ya kati kupitia kidatu Serikali inaenda kukifufua kipande hichi Cha kidatu hadi kilosa hii itasaidia kuongezeka kwa tren pia makaa ya mawe na bidhaa nyingine kutoka nyanda za juu kUsini kwenda Rwanda ,BURUNDI watatumia reli hii wazo zuri maeneo yatazidi kufunguka zaidi hii itasaidia kusafirisha makaa ya mawe kupitia treni kwenda nchi za EAC na SADC kupitia bandari kavu zinazojengwa makambako ,mbeya na tunduma πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Mheshimiwa Spika,sambamba na
mikakati hiyo, Serikali imeanza kubuni namnabora
ya kufungamanisha reli iliyopo ya MGR, reli ya
TAZARA pamoja na reli ya SGR ili kuwezesha
kutumia fursa ya utajiri mkubwa wa mtandao
wa reli unaounganisha sehemu kubwa ya nchi.
Hatua hii itaimarisha muunganikowa reli ya kati
na reli ya TAZARA kupitia kiungio cha Kidatu.
Kwa kuzingatia umuhimu wa reli hii na ukweli
kuwa reli inawezesha kuunganisha mzigo
kutoka mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Morogoro
na kuwezesha muingilianokuelekea maziwa
makuu. Hii ni fursa ya soko kwa kuunganisha
nchi za EAC,SADCna COMESA na hatimaye
reli ya mwendo kasi. Aidha, Serikali imeanza
kutathmini upatikanaji wa maeneo ambayo
yatatumika wakati wa kufaulisha mizigo
(Trans-shipment) kwa ajili ya kuleta urahisi
wa kufanya biashara hususan usafirishaji wa
4c3o85a5ff18d52cemz_800C450.jpg
18219_tn_africa-dikkm-railway-map_02.jpg
 
"PARACHICHI TSH 200 KWA KILO 1"

Wakulima wa zao la Parachichi katika kijiji cha Ihanzutwa kata ya Itulahumba wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe wamesema wanakumbwa na uhaba wa soko la uhakika la bidhaa hiyo takribani miezi mitatu sasa na wanunuzi kununua bei wanazo zitaka wao.

Baadhi ya wakulima hao akiwemo Daud Mwinami,Kasbet Mhema na Matha Mgaya wamesema kwa sasa wanalazimika kuuza parachichi shilingi mia mbili(200) kwa kilo moja ambapo awali walikuwa wakiuza kiasi cha shilingi 1800 mpaka 2000 kwa kilo moja.

Aidha wameongeza kuwa bei hizo zimewafanya waachanae na maandalizi ya kilimo hicho kutokana na kushindwa kumudu gharama za maandalizi.

"Watu wamesha telekeza mashamba bei mdogo gharama mkubwa za maandalizi pamoja na ununuzi wa mbegu za parachichi" ameongeza Daud Mwinami.

Katika hatua nyingine wameiomba serikali iwatafutie Soko la uhakika na wazabuni ambapo wataenda kununua zao hilo kwa bei itakayo enda kuwainua kiuchumi.

" Matunda hata ukienda shambani kwangu parachichi zipo nyingi hazina soko kabisa na ni mwaka wa pili sasa toka nianze kuchuma parachichi" ameongeza Matha Mgaya.

#kingsfmradio #jisikiemfalme #kifalmezaidi #kingsfmradio #jisikiemfalme #2024kifalmezaidi #njombetanzania #njombe #tanzania
#mbeya #kingsfmupadates #kingsfmonline
1715348308422.jpg
 
Haya Sasa MKOA WA NJOMBE una viwanja viwili vya ndege na Cha ilembula wangingombe DC ndo kikubwa zaidi kina lingana na Cha songwe mbeya lengo ni kupokea watalii wa mbuga za mpanga kipengere na ruaha kupitia geti la rujewa na kuifanya makambako mji wa biashara na logistic hub upo km 18 kutoka makambako CBD Mkoa wa njombe umejipanga Sana kiuchumi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Air Transport Facilities
There are only two Aerodromes which carters for the visitors to the region. The two
aerodromes are located in Njombe TC and Wanging’ombe DC but because has no
scheduled flights hence there are no data on passengers embarking and disembarking at
75
 
Haya Sasa MKOA WA NJOMBE una viwanja viwili vya ndege na Cha ilembula wangingombe DC ndo kikubwa zaidi kina lingana na Cha songwe mbeya lengo ni kupokea watalii wa mbuga za mpanga kipengere na ruaha kupitia geti la rujewa na kuifanya makambako mji wa biashara na logistic hub upo km 18 kutoka makambako CBD Mkoa wa njombe umejipanga Sana kiuchumi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Air Transport Facilities
There are only two Aerodromes which carters for the visitors to the region. The two
aerodromes are located in Njombe TC and Wanging’ombe DC but because has no
scheduled flights hence there are no data on passengers embarking and disembarking at
75
Uwanja wa ndege wa Njombe unaenda kusanifiwa na kujengwa Kwa hadhi ya Kimataifa.(Class 4E).

Bajeti ya Uchukuzi 2024/25 πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20240506-214524.jpg
 
Vituo vya ukaguzi naParking za kulaza magari hotel na ofisi mbalimbali vitakavyojengwa tazam road πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ road transport
Consultancy Services for Feasibility Study, Detailed Engineering Design, Environmental and Social Impact Assessment and Preparation of Bidding Documents for One-Stop Inspection Station (OSIS) at Mikumi, Makambako and Mpemba along Dar es Salaam Corridor
 
Mashindano ngazi ya halmashauri ya miji yalihusisha jumla ya miji 21 ambapo halmashauri
ya mji wa Njombe imeibuka kuwa mshind wa kwanza kwa kupata asilimia 89 ya alama zote,
ikifuatiwa na halmashaur ya mji wa Babati ambayo imepata asilimia 73. Halmashauri ya
manispaa ya mji wa Makambako imekuwa ya tatu kwa kupata asilimia 72 ya alama zote.
Mpangilio wawashindi ngazi ya halmashauri ya mji ni kama inavyoonekana kwenye jedwali
namba 3.
Jedwali 3Matokeo ya mashindano ngazi ya miji
Na.Jina la HalmashauriMkoaAlama
zilizopatikana
Jumla ya
Alama
Asilimia
(%)
1Njombe TCNjombe11012489
2Babati TCManyara9112473
3Makambako TCNjombe8912472
4Nzega TCTabora8812471
5Kibaha TCPwani8712470
6Masasi TCMtwara8312467
7Mafinga TCIringa8212466
8Tunduma TCMbeya7912464
9Mbulu TCManyara7712462
10Mbinga TCRuvuma7712462
11Nanyamba TCMtwara7712462
12Kasulu TCKigoma7012456
13Geita TCGeita6912456
14Newala TCMtwara6912456
15Handen TCTanga6512452
16Ifakara TCMorogoro6412452
17Tarime TCMara5712446
18Korogwe TCTanga5712446
19Bunda TCMara5612445
20Bariadi TCSimiyu5412444
21Kondoa TCDodoma3712430
4.Halmashauri za Wilaya
 
Back
Top Bottom