Geita vs Singida: Ni mji upi mzuri kifursa, kimaendeleo na ukuaji kuliko mwingine?

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,054
Karibuni kwenye mada hii mdau

Nipo hapa nawaza kwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa geita na singida

Je, ni mji gani mzuri kati ya hii miwili ni mkubwa kifursa kuliko mwingine kimaendeleo na ukuaji?na mzunguko wa hela kwa wananchi.
 
Singida ni Manspaa na Makao Makuu ya Mkoa tangu 1963 wakati Geita ni Halmashauri ya mji na Makao Makuu ya mkoa tangu 2012. Sijui unalingalishaje miji hii miwili?

Kwa ukuaji wa mji Geita inakuwa kwa kasi na idadi ya watu ni kubwa kuliko Singida. Aidha, huwezi kulinganisha fursa za kibiashara na mji wenye dhahabu na mji wa alizeti. Tafakari.
 
IMG_1687.jpg

IMG_1690.jpg

IMG_1688.jpg

IMG_1686.jpg

IMG_1685.jpg

Singida ndio hiyo kwa wale walikuwa wanataka picha mji safi na salama
 
Singida ipo mbali sana kimaendeleo kuliko Geita!,makao makuu ni mara mia yangekuwa Singida kuliko Dodoma maana Dodoma ni jangwa lililochangamka!
Yataje hayo maendeleo maana Singida ni Manspaa ya muda mrefu sana lakini ukilinganisha na ukuaji wa mji wa Geita Singida inasubiri sana
 
Back
Top Bottom