LIFE PAIN GAIN
Member
- Oct 25, 2021
- 98
- 98
Yes wakuu,
Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.
Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress.
Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro, Mafinga, Njombe, Kahama. Vp wewe ungeangukia wapi palipo na unga mwingi wa kukupa ugali?
Karibuni