Jinsi mchepuko wangu alivyotaka kuniambukiza gonjwa la UKIMWI

Wasomba

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
324
477
Sehemu ya 1
Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa kwenye mgogoro mkubwa wa ndoa na mke wangu jambo lililonipelekea kutafuta mchepuko wa kuupooza moyo wangu.

Katika harakati zangu za kusafiri kutoka kazini Tengeru na kwenda nyumbani siku moja nikiwa narudi kutoka kazini ilitokea nikakaa siti ya mbele na mama mmoja mrembo ambaye badaye alijitambulisha kwangu kwa jina la Praxeda (si jina halisi). Tukiwa kwenye siti ya mbele pamoja tulipiga story na mwisho kubadilishana namba.. Lengo la kubadilishana namba ni kwambd mimi nilishamwelewa Praxeda.

Baada ya hapo salamu za hapo zikiendelea na hatimaye nilimuambia kusudio la moyo wangu.
Mimi, '' Praxeda ujue nakupenda sana''
Praxeda"; '' Nimepita kwenye misukosuko mingi sana ya kimapemzi, nilikuwa nahitaji nipumzike kwa sasa"'

Niliendelea kumshawishi Praxeda na hatimaye tukapanga kukutana Kijenge Mwanama amvako ndiko jirani na nyumbani kwwke Praxeda.
Ilipofika weekend iliyofuata tulilikukutdna ambapo mimi nilihakikisha nampatia Praxeda heavy lunch kama sehemu ya kumshawishi Praxeda awe nami kimahusiano.
Katika mazungumzo nikafahamu kuwa Praxeda ni single mother mwenye watoto watatu na mtumishi wa idara ya mazingira katika ofisi ya mkurugenzi halmashauri ya Arumeru.

Baada ya kufanya ushawishi mkubwa Praxeda alikubaliana na ombi langu na hivyo tukapanga tukutane siku nyingine kwa ajili ya kufahamiana zaidi..
''''''''''''Itaendelea.''''''''''
 
Hujataja jina ila umetoa information zake, hapo tayari waliopo maeneo hayo watamtambua

Code imefungwa kwa kufungiliwa. inawezekana kila alichoandika ni sahihi kwanzia wadhifa nk. ila wilaya tuu ndio sio yenyewe, maboya lazima wapoteane
 
Upo taasisi gn mkuu tengeru nishawahi ishi huko nataka nikushauri kitu
 
Sehemu ya 2
Baada ya kuendeleza ukaribu baina yetu Praxeda alinihalika nyumbani kwake. Alinitambulisha Kwa wapangaji wenzake na Kwa watoto zake kama uncle hivyo watoto wake walizoea kuniita uncle.

Siko ilipowadia tulikutana na Praxeda kwenye hotel iliyoko Arusha mjini. Hapo nilichukua chumba cha hotel. Kabla ya yote nllimuomba Lily tucheki afya hivyo. Kwa kuwa sikuwa na Yale maji ya kupimia nilichukua maji ya Kilimanjaro na kuyatumia kupimia kama reagent.

Vipimo vilionyesha wote tupo negative, Hapo mchezo ukaanza nyama kwa nyama, ngozi,Kwa ngozi. Mapenzi yalinoga, ikawa tunakutana mara Kwa mara. Kila safari ya kikazi aliyepata Praxeda ndani na nje ya mkoa halihakikisha tunaenda wote, huko kazi yangu ilikuwa moja tu. Mimi pia kwa upanda wengi kila nikisafiri kikazi nilihakikisha nawaletea uncle zangu wote Zawadi. Praxeda alizidi kunipenda na mauncle pia zangu walizidi kunipenda.

...........Itaendelea kesho..,,...........
 
Back
Top Bottom