Je! University of Iringa ni chuo kizuri kitaaluma ?

slmmfm

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
304
65
Wakuu hicho chuo university of Iringa mnakionaje?

Kwa wanao kifahamu kipo vizuri upande wa academic maana nataka nikapige bachelor of education with mathematics
 
Naombeni ushaur juu ya hicho chuo maana natka nikapige bachelor of education with mathematics.

Chuo kipo vzr kwa academic? ??
 
yap mi naingia second year on October but ada kubwa kitaaluma kipo poa,and it is among of the earliest university in Tanzania
 
yap mi naingia second year on October but ada kubwa kitaaluma kipo poa,and it is among of the earliest university in Tanzania

Eti nikweli chuo ni cha kidini zaid, alfu kina kam mdagani tokea kianzishwe?
 
Je kuna ajira za moja kwa moja kwa coz za education? kam ilivyo kwa vyuo vya government?
 
yap mi naingia second year on October but ada kubwa kitaaluma kipo poa,and it is among of the earliest university in Tanzania

Umekosa vyuo? Iringa University ndo chuo gani? Pole sana kwa kwenda hicho chuo,
Pale kusoma hiari na kufaulu lazima.
 
Umekosa vyuo? Iringa University ndo chuo gani? Pole sana kwa kwenda hicho chuo,
Pale kusoma hiari na kufaulu lazima.

we unasoma/ulisoma chuo gani? utasikia udsm au mzumbe.

sasa na waliosoma manchester au havard cambrige universitities sijui wanakuonaje mwenzetu
 
Watu kama nyie ndio mnaosababisha hata hii nchi haiendelei.

Ficha upumbavu wako, jamaa kasema point, ila tatizo la watanzania hatupendi ukweli maana unauma. Hicho chuo nakifahamu sana, nimefanya kazi hapo, mwanafunzi anafeli somo, lakini baada ya mwalimu kukabidhi matokeo, baadaye unakuta mwanafunzi amefaulu bila maelezo yoyote.
 
No research no right to speak out.....
Always we stay shut to avoid unnecessary ban:flame:
 
Ficha upumbavu wako, jamaa kasema point, ila tatizo la watanzania hatupendi ukweli maana unauma. Hicho chuo nakifahamu sana, nimefanya kazi hapo, mwanafunzi anafeli somo, lakini baada ya mwalimu kukabidhi matokeo, baadaye unakuta mwanafunzi amefaulu bila maelezo yoyote.

Acha Unafiki!!!!!!
 
Umekosa vyuo? Iringa University ndo chuo gani? Pole sana kwa kwenda hicho chuo,
Pale kusoma hiari na kufaulu lazima.

We kilaza kweli, tumaini university sio chuo makini?
iringa former ilikuwa inaitwa tumaini university, uwe unafuatilia mambo kijana
 
Back
Top Bottom