Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

Simple geography.. Ila nakushauri kafie mpakan ili wakuzike kabla huo muda haujapita
unachotakiwa kutoa mkuu ni ufafanuzi na uthibitishe how what you call simple is !
I doubt you!
is travelling back in time relates with geography descipline ?
 
Kuna concept ya time space travelling, ambayo ukisafiri kwa spidi kubwa kwenye space una-slowdown time. Hivyo siku moja in space inaweza kuwa miaka 20 dunian.

Ni complex idea, ila elewa hivyo. Watu wataenda kwenye solar systems za mbali kwa kutumia siku chache tu, lakini ni mamia ya miaka dunian. Watashangaa watakaporudi wanakuwa nyuma kwa miaka kibao na kila kitu kimebadilika sana.

Nao wanakuwa wanaishi past in present, maana wataonekana vijana wa miaka 20 kumbe wana miaka 600
If u cant convice them just confuse them.
Ahsante umetendea haki uo msemo
 
wakuu asalaamu?

watu wengi hapa jf walishawahi kutoa michango yao kuhusu kurudi nyuma ya wakati yaani "back in time"
na mimi kwa mawazo yangu nahisi kama inawezekana!

mfano, nchi ya Rwanda iko nyuma ya Tanzania kwa saa moja , ikiwa Rwanda ni saa 12 asubuhi, basi Tanzania ni saa moja .

je ukifa Tanzania tarehe 1 january huwezi kuzikwa Rwanda tarehe 31 disemba.

wajuvi wa mambo nipeni ufafanuzi. !!
Mkuu ni kivipi muda unaenda mbele na kurudi nyuma..?
 
je huo muda wa kufa na kusafirishwa kuwahi kule ambapo muda/masaa yapo nyuma utatumia usafiri gani uweze kuwahi? labda theoreticaly ukae mpakani mwa hizo nchi mbili ukisubiri kufauvushwe boda tu uzikwe jana yake kwa masaa ya tz. rwanda watakuconsider kuwa umekufa in future ukaja zikwa in present na tz wata kuconsider umekufa in present bt ukazikwa in past. ni concept ngumu kidogo kumeza but if u cant convivce them confuse them
Na kabla ya kufa uwe umeandaa kaburi kabisa ili ukifa na kuzikwa
 
hapa ndipo nnapoona watu wanajimix kwa kudhani muda unaenda mbele ama kurudi nyuma,binafsi nijuavyo muda ni uwepo/the existance of space ambayo haionyeshi kurudi nyuma ama kwenda mbele... ila watu tumechukulia hivyo kwa sababu kadharika...
ukitaka kujua kama ni uwepo huyo maiti uwe unamrudisha nyuma (kama alivyosema mweka mada) uone kama ataamka coz ya zile saa alizokuwa hai zinajirudi na mwili kutoharibika.
 
Nahisi ukifa SAA 1 hapa kwa SAA ya kifo huwa imepagwa hivyo ukirudishwa rwanda utaishi SAA moja ndio ufe tena
 
Back
Top Bottom