Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 403
- 587
Habari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.
Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.