Je, ukiwa unatumia dozi ya PEP unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mwenye maambukizi?

Huwezi kupata hadi zitakopita wiki mbili baada ya kumaliza dozi coz dawa ya pep inakaa muda mrefu kwenye damu
Hivyo hata baadaa ya kumaliza dozi inakuwa sumu ya dawa ipo kwenye damu
Ivi mkuu mtu akitumia pep kwa siku 28 na akamaliza inachukua muda gani effects za dawa mwilini kuisha au nguvu yq dawa huisha baada yq muda gani?
 
Nashukur mkuu,hapa nilikuwa nawaza nirudi hospt pengine ntaongezewa dozi na vile znanipelekesha njaa muda wote,ndoto za ajabu ajabu kuota napaa hadi nimeshalizoea anga,uchovu kam nina homa ni balaa tupu..
Unatumia PEP bado una ujasiri wa kwenda pekupeku?
 
sawa saw kaka,sema skua nmepanga kumla coz kabla skumdokeza,nlmwomba aje gheto nlijarbu kumuapproach akankatalia mbaya hata kuguswa hataka..nkakausha.
sijui iltokeaje na ujasiri nilitoa wapi nlijikuta nshamshika kiuno alilalamika dk mbili t bdae kmya nkatoa kfuniko kugusa nyang'anyang'a nkateleza.
Inabidi ujue kujicontrol juu ya haya mambo mzee kabla hujakanyaga mwiba ukaishia kuishi maisha ya majuto
 
Ivi mkuu mtu akitumia pep kwa siku 28 na akamaliza inachukua muda gani effects za dawa mwilini kuisha au nguvu yq dawa huisha baada yq muda gani?
Hudumu kwa wiki moja.
Na ukimaliza dozi ya siku 28 unatakiwa ukae wiki nne ambazo ni sawa na mwezi mmoja ndio ukapime tena HIV ukikutwa -Ve utatakiwa urudi tena baada ya wiki 12 ambazo ni sawa na miezi mitatu hapo ukikutwa -Ve basi umeokoka.
 
DR samahani vidonge vilivyoandikwa LA75 utumika kama PEP mkuu?
Kweli kabisa..

Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..

Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)

Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
 
LA75 mara Nyingi Ni label name ya Lamivudine (3TC)
Ni vigumu Kukuta Lamivudine Ikisimama Peke yake..
Hiyo Ni vigumu sanaaaa na Sidhani kama imewahi kutokea..

But Mara nyingi Lamivudine (Kwa sasa Hivi) inachanganywa kwenye Dawa kama TLE na TLD..
Kwa sasa TLE ilitolewa Sokoni nadhani tangu mwaka 2019..

Ninavyoona..
Dawa unayoizungumzia Ni TLD maana Hiyo ndo imekuwa Embossed with LA75..

Na kukujibu Ni Ndiyo Inaweza kutumika kama PEP..na mara Nyingi ndio Hutumika kwetu Tanzania Unless Kuwe na Contraindication..

20240425_183157.jpg

20240425_183127.jpg
 
Doctor ulipokatisha doz ya PEP kwa siku 20 tu
Kweli kabisa..

Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..

Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)

Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
Doctor ulipokatisha PEP kwa siku 20 tu ziliweza kukisaidia kukwepa maambukiz?
 
Doctor ulipokatisha doz ya PEP kwa siku 20 tu

Doctor ulipokatisha PEP kwa siku 20 tu ziliweza kukisaidia kukwepa maambukiz?
Zinasaidia Ila Huruhusiwi Kukatisha kama mimi 😂
Kuna Mechanism kubwa sana ya PEP na Jinsi ART zinavyofanya kazi...

Ila Ikitolewa Within 1 to 2 Hours After Exposure kufanya kazi huwa Ni Promising sana yaani Effectively..
Na si lazma umalize dozi kuzuia Maambukizi but ila kuwa na 100% Sure maliza Dozi
 
LA75 mara Nyingi Ni label name ya Lamivudine (3TC)
Ni vigumu Kukuta Lamivudine Ikisimama Peke yake..
Hiyo Ni vigumu sanaaaa na Sidhani kama imewahi kutokea..

But Mara nyingi Lamivudine (Kwa sasa Hivi) inachanganywa kwenye Dawa kama TLE na TLD..
Kwa sasa TLE ilitolewa Sokoni nadhani tangu mwaka 2019..

Ninavyoona..
Dawa unayoizungumzia Ni TLD maana Hiyo ndo imekuwa Embossed with LA75..

Na kukujibu Ni Ndiyo Inaweza kutumika kama PEP..na mara Nyingi ndio Hutumika kwetu Tanzania Unless Kuwe na Contraindication..

View attachment 2973358
View attachment 2973359
hivi vinatumika kimoja kwa siku. imekuwaje wewe unavyo vi3?
 
LA75 mara Nyingi Ni label name ya Lamivudine (3TC)
Ni vigumu Kukuta Lamivudine Ikisimama Peke yake..
Hiyo Ni vigumu sanaaaa na Sidhani kama imewahi kutokea..

But Mara nyingi Lamivudine (Kwa sasa Hivi) inachanganywa kwenye Dawa kama TLE na TLD..
Kwa sasa TLE ilitolewa Sokoni nadhani tangu mwaka 2019..

Ninavyoona..
Dawa unayoizungumzia Ni TLD maana Hiyo ndo imekuwa Embossed with LA75..

Na kukujibu Ni Ndiyo Inaweza kutumika kama PEP..na mara Nyingi ndio Hutumika kwetu Tanzania Unless Kuwe na Contraindication..

View attachment 2973358
View attachment 2973359
ivi vinatumika kimoja kwa siku. imekuwaje wewe unavyo vi3?
 
Back
Top Bottom