Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu.
Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama za dotCom Domain name kwa Tanzania kwa sasa kuwa kubwa yaani ni hadi tsh 35000 na hadi 40000 kwa mwaka toka tsh 25000. Sababu za kupanda zikiwa haziwekwi wazi zaidi ya provider wametupandishia bei.
Ndipo nilipo amua kucheki kwa wenzetu na kukutana na ofa ya $3.75 kwa mwezi ambapo napata Hosting na Free Domain kutoka kwa hawa jama HostGator
kama ivavyoonekana hapo chini
Ushauri: Kama unataka kuanzisha website na unataka iwe accessible dunia nzima basi tumia .com domain na hakikisha unahost kwa service provider toka nje.

- 1 website
- 10GB SSD Storage
- Chat support
- Unmetered bandwidth
- Basic email included
- Free domain 1st Year
- Free SSL 1st Year
- WordPress pre-installed
- Malware Scanning
Ushauri: Kama unataka kuanzisha website na unataka iwe accessible dunia nzima basi tumia .com domain na hakikisha unahost kwa service provider toka nje.
Ni Maoni yangu tu.