Je, ni kwamba baadhi ya Polisi ni waaminifu?

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
244
431
Kuna baadhi ya madili hufichuliwa na kutangazwa kwenye runinga. Mfano, mafuta kwenye bandari bubu nk. Je, wahusika hukosa posho ya kuwapa polisi au Kuna baadhi ya polisi hawapendi posho.

Mimi nimeona madili mengi polisi wakipozwa. Kwanini baadhi ya madili unaitiwa mpaka waandishi wa habari. Je, mmeshindwana kwenye posho au hawataki posho kabisa
 
Kuna baadhi ya madili hufichuliwa na kutangazwa kwenye runinga. Mfano, mafuta kwenye bandari bubu nk. Je, wahusika hukosa posho ya kuwapa polisi au Kuna baadhi ya polisi hawapendi posho. Mimi nimeona madili mengi polisi wakipozwa. Kwanini baadhi ya madili unaitiwa mpaka waandishi wa habari. Je, mmeshindwana kwenye posho au hawataki posho kabisa
Posho inakuwa ndogo sana ndo mana 'wanachomwa' hao wapiga dili
 
Back
Top Bottom