Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,697
- 21,282
Hehehee Katiba Ya MezaniHata Mimi Katiba ya kupewa na CCCm siitaki.
Nachouliza tu nijue ikiwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa ni mtu mmoja au la!!
Hehehee Katiba Ya MezaniHata Mimi Katiba ya kupewa na CCCm siitaki.
Nachouliza tu nijue ikiwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa ni mtu mmoja au la!!
Watapokea yule wa Katiba. Huyu wa sasa siyeNajiuliza ikiwa GETI la Mbinguni watapokelewa!!
Kumbuka CCM ndiyo iliyokupa amani mpaka Leo unaweza kuandika haya Kwa ujasiri wote. CCM ni taasisi tena imara, lakini Haina maana CCM haiwezi kuwa na watu waovu ambao ni muda tu nao watapotea. Haina maana napinga Katiba mpya no, napinga kunisema CCM wakati Wana CCM nchi nzima wapo walio wazuri na wabaya kama ilivyo Kwa vyama vingineMaswali haya muhimu yakupeleke kupata elimu kuhusu CCM kwa mapana zaidi.
CCM ni jinamizi fulani hivi ambalo kimsingi ndo linaongoza nchi. Hao watu unaowaona hapo hawafanyi jambo kwa utashi wao.
JPM as case study itupatie darasa muruwa kuhusu CCM.
Katiba Mpya haitakiwi na CCM hakuna rais atakayetuletea katiba yetu wananchi hadi itoke madarakani
CCM imenipa amani?Kumbuka CCM ndiyo iliyokuoa amani mpaka Leo unaweza kuandika haya Kwa ujasiri wote. CCM ni taasisi tena imara, lakini Haina maana CCM haiwezi kuwa na watu waovu ambao ni muda tu nao watapotea. Haina maana napinga Katiba mpya no, napinga kunisema CCM wakati Wana CCM nchi nzima wapo walio wazuri na wabaya kama ilivyo Kwa vyama vingine
Rekebisha hapo,Kumbuka CCM ndiyo iliyokupa amani mpaka Leo unaweza kuandika haya Kwa ujasiri wote. CCM ni taasisi tena imara, lakini Haina maana CCM haiwezi kuwa na watu waovu ambao ni muda tu nao watapotea. Haina maana napinga Katiba mpya no, napinga kunisema CCM wakati Wana CCM nchi nzima wapo walio wazuri na wabaya kama ilivyo Kwa vyama vingine
Hapo nakubali mtumishi, nimekosea Mimi nimekosea Mimi nimekosea sanaRekebisha hapo,
Mungu ndiye Amani, ndiye atupaye Amani sio CCM.
It's ok,Hapo nakubali mtumishi, nimekosea Mimi nimekosea Mimi nimekosea sana
Hiyo elimu ya katiba ni mbinu za kula pesa za wananchi na kuchelewesha kwa makusudi mchakato wa katiba mpya kwa maslahi ya Ccm.Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!
Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale Kwa miaka 3,wakati tunayo Rasimu ya Warioba kabatini ya kuanzia mnatuonaje wananchi,
Je, Wawili Hawa ni UMOJA au ni wawili Tofauti Kila Mmoja Kwa nafasi yake?
1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?
2. Je, utafiti upi ulifanyika kuonyesha Watanzania hatujui Katiba iliyopo?
3. Je, wote walioshiriki katika mchakato wa KATIBA Awamu ya nne wanawajibika vipi Kwa pesa za umma zilizotumika?
4. Je, ni sawa kiongozi mmoja kuwa na ndimi mbili bila kuwajibishwa Kwa kauli zake?
5. Je, ni athari zipi zitatokea ikiwa tutaingia uchaguzi ujao bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi?
Maswali ni mengi, karibuni🙏
Pesa hizo zingetumika kuhakikisha angalau watoto shule za kata wanapata japo uji shuleni Ili waelewe wafundishwacho na walimu wao!!Hiyo elimu ya katiba ni mbinu za kula pesa za wananchi na kuchelewesha kwa makusudi mchakato wa katiba mpya kwa maslahi ya Ccm.