Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

Unaonaje tukishauri akae pembeni kupisha mabadiliko, maana ameonekana kuyumba kimaamuzi wakati tukiendelea na mchakato wa kupata Katiba mpya?
Utakuwa unavunja katiba kumfanya apishe ili upate Katiba
 
Kwahiyo unaniambe kwa katiba ya USA ambayo imetengenezwa miaka 200 iliyopita hiyo si itakuwa takataka sio au?
Nani kakuambia Katiba ya USA yenye miaka 2 imetatua matatizo? Je wale homeless kibao na weusi wanaobaguliwa uzuri wa Katiba ya USA umewasaidia vipi?
 
Toa mkono shavuni Mzee wetu Warioba,

Vision Yako itatimia, na tunakuombea uione Kwa macho Yako ya nyama siku hiyo njema ya kupatikana na kuzinduliwa Katiba mpya.
 
Basi tumpeleke mahakamani kwakuwa tunawaza ana stahili kuhukumiwa Kwa Makosa ambayo sisi tunaona ni kinyume na natamanio yetu, maana Katiba haina maana tunaende na morals tu bila hizo morals kuwa guided😨😰
Nadhani kumpeleka mahakamani aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge la Katiba mahakamani inawezekana,

Ila kumpeleka aliyekalia KITI kikuu Si Rahisi, Katiba inapinga,

Bunge ndo Linaweza kumwondoa likiwezeshwa, narudia likiwezeshwa.
 
Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!

Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale Kwa miaka 3,wakati tunayo Rasimu ya Warioba kabatini ya kuanzia mnatuonaje wananchi,

Je, Wawili Hawa ni UMOJA au ni wawili Tofauti Kila Mmoja Kwa nafasi yake?

1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?

2. Je, utafiti upi ulifanyika kuonyesha Watanzania hatujui Katiba iliyopo?

3. Je, wote walioshiriki katika mchakato wa KATIBA Awamu ya nne wanawajibika vipi Kwa pesa za umma zilizotumika?

4. Je, ni sawa kiongozi mmoja kuwa na ndimi mbili bila kuwajibishwa Kwa kauli zake?

5. Je, ni athari zipi zitatokea ikiwa tutaingia uchaguzi ujao bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi?

Maswali ni mengi, karibuni🙏
Maswali haya muhimu yakupeleke kupata elimu kuhusu CCM kwa mapana zaidi.

CCM ni jinamizi fulani hivi ambalo kimsingi ndo linaongoza nchi. Hao watu unaowaona hapo hawafanyi jambo kwa utashi wao.

JPM as case study itupatie darasa muruwa kuhusu CCM.

Katiba Mpya haitakiwi na CCM hakuna rais atakayetuletea katiba yetu wananchi hadi itoke madarakani
 
Mambo ya ajabu sana
 
Hata Mimi Katiba ya kupewa na CCCm siitaki.

Nachouliza tu nijue ikiwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa ni mtu mmoja au la!!
 
Hapana mkuu
Yule mwenyekiti wa Bunge la Katiba alikuwa ni mteuliwa na alifuata alichoelekezwa. Huyu rais wa sasa anatenda anachokipiwa.

Naomba usiniulize anapikiwa na nani
 
Hujajibu swali Bado ndugu Msanii!!

Yule aliyefuata alichoelekezwa na anayeleta alichopikiwa Kuna tofauti Gani sasa?
 
1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?
Sheria iliyopo inasema kuwa mchakato wa Katiba mpya ukishafanyika inabdi ukamilike ndani ya kipindi cha miaka mitano. Ikishapita mika mitano, maoni yake yanakuwa obsolete na inabidi mchakatoo uanze upya kwa kutafuta maoni mengine upya. Tuna advantage kwamba basis ya maoni mapya tunayo, isipokuwa yale ya mwaka 2014 hayawezi kutumika tena
 
Ikiwa wananchi tunataka Rasimu na data za Warioba ziwe kitu Cha kuanzia,

Unataka Sema SHERIA haziwezi kurekebishwa?

Hakuna pa kujifichia, wananchi tunataka mchakato Ule ufukuliwe na tuendelee Kutokea hapo!!

Kumbuka pia, wananchi ni Bosses, na Viongozi ni WAAJIRIWA wa wananchi.

Imekuwa.

Amen
 
Ninachosema hapa ni kwamba mchakato mpya inabidi ufanyike, hata kama mchakato huo utaishia ku-approve exactly kile kilichowahi kufanyika wakati wa Warioba. Hii haimaanishi kuwa maoni ya tume ya Warioba hayafai, hapana. Ni mchakato mpya unahitajika ambao eventually unaweza ukasihia ku-aaprove kile kile kilichowahi kufanywa na tume ya Warioba
 
Hakuna mchakato mpya wa maoni ya miaka mitatu, ni kiinimacho.

Mchakato ulishafanyika, ufukuliwe, maoni mapya yakusanywe, wataalamu wa KATIBA na SHERIA wakae, ndani ya miezi 6 tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Ili tuingie uchaguzi Kwa Amani.
 
Hujajibu swali Bado ndugu Msanii!!

Yule aliyefuata alichoelekezwa na anayeleta alichopikiwa Kuna tofauti Gani sasa?
Anayepokea maagizo hana namna zaidi ya kuyatekeleza

Anayepikiwa ana hiyari ya kuyakataa aua kuyatumia.

Pima mwenyewe hapo
 
Kama ni hivyo anazo pingu mikononi zisoonekana Kwa macho ya kawaida.
 
Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!

Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale Kwa miaka 3,wakati tunayo Rasimu ya Warioba kabatini ya kuanzia mnatuonaje wananchi,

Je, Wawili Hawa ni UMOJA au ni wawili Tofauti Kila Mmoja Kwa nafasi yake?

1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?

2. Je, utafiti upi ulifanyika kuonyesha Watanzania hatujui Katiba iliyopo?

3. Je, wote walioshiriki katika mchakato wa KATIBA Awamu ya nne wanawajibika vipi Kwa pesa za umma zilizotumika?

4. Je, ni sawa kiongozi mmoja kuwa na ndimi mbili bila kuwajibishwa Kwa kauli zake?

5. Je, ni athari zipi zitatokea ikiwa tutaingia uchaguzi ujao bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi?

Maswali ni mengi, karibuni
Ndiyo ni watu wawili tofauti kikazi ila ki-maisha-binafsi na umbile ni mtu mmoja.
 
Tulitukanwa bila kujua. Je, tuna vichwa vigumu na hatufundishiki kirahisi na tunaitaji tena elimu ya miaka 3?. Je, kazi iliyofanyika tangu tume za kina Kisanga, Nyalali, na baadae Warioba ni kazi bure? na lile bunge la katiba la Kikwete je, vyote ni bure?

Zanzibar walitunga katiba miaka 10 iliyopita, hao hii elimu ya katiba aliwafundisha nani na lini?

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom