Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
619
561
Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri.

Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active vibaya mno kwenye mawasiliano.Mimi kama mwanaume sijashangaa yeye kupunguza mawasiliano na mimi mana najua ndo tabia za wanawake pindi wanapoingia kwenye mahusiano mengine ya pembeni mana anakua active zaidi kwenye mawasiliano na mtu mpya kuliko wewe ambae ulianza nae.

Huyu binti kwakua nishamkula sana nimeona sina chakupoteza mana sikua na mpango wa kumuacha ila kwakua yeye mwenyewe ndo kalikoroga basi acha alinywe.

Juzi jioni nimekaa sina hili wala lile nikaona kanitumia text ya kuniomba nimsaidie Tshs 100,000 nikasema hapa sasa ngoja nikuonyeshe show kwamba there is no free lunch.

Nikamjibu nikamwambia ngoja tuone kesho nitapata kiasi gani ili sikuhaidi kwamba nitakupatia hiyo 100k yote, nitakayofanikisha nitakuambia akasema "sawa nitashukuru" nikasema kimoyomoyo "kesho utafurahia show"

Sio kwamba sikua na hiyo hela, pesa nilikua nayo ila nilitaka tu kumpa ahadi hewa ingawa anajua kabisa iko ndani ya uwezo wangu.

Kesho yake ananitext nikajua tu huyu anasalimia sababu nilimuahidi pesa, nilikuja kuijibu text yake baada ya masaa mawili kisha nikakaa kimya.

Jioni alipiga nikawa naiangalia timu simu yake , nilikua kumtumia text baada ya masaa mawili tena na kumuuliza anasemaje.....Yani nilikua namgonga swali as if sikumuahidi chochote halafu nilikua sitaki tu kuskia sauti yake ndomana nilikua sipokei simu yake.

Ili kuwahakikishia kwamba ninao uwezo wa kumtumia 100k ila tu sitaki naambatanisha na my bank balance ya muda huu.

Hakuna muda wa kumuonea huruma mtu asiyekuthamini na kukumbuka wema wako.

Screenshot_20240404-192323_1.jpg
 
Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri...
Watu kama wewe wanawake huwa wanawaita ''mabuzi''. Yaani ni wanaume ambao wanakuwa na uhusiano nao kwa sababu kupata fedha tu. BTW kuna wanaume wakijua wanafanyiwa hivi wanaamua kugonga tigo kabisa ili wawakomoe.
 
Back
Top Bottom