- Thread starter
- #21
Ilifutwa Awamu ya nne.Nakuunga mkono kabisa
Mimi namaliza Kidato Cha nne, Divinity lilikuwepo, kumbe limetolewa???.
Hivi watu wanadhan kumshinda shetan na huu utandawazi na tekinolojia ,ni kama Kunywa Mirinda ya Baridi eeh??.
NI DINI PEKEE, NDIO INAYOMSTAHARABISHA MWANADAMU.
ALAANIWE KABISA TENA SHENZI ZAKE HUYO ALOAMUA KUONDOA SOMO HILO .
Warusi wanapamba Kulinda Maadili ya Taifa lao kwa kuhakikisha wanawalinda watoto kiroho Toka wangali wadogo WAKIWA mashuleni ,Somo la Biblia linafundishwa .
WACHINA Hawa sio wa Dini, lakini Wametunga Sheria Kali sana zenye lengo la Kulinda watoto.
Kwanini watoto?? Kwa sababu ukilinda watoto, umelinda hazina ya kesho, maana humo ndio Kuna Viongozi, wafanyakazi, Watumishi wa Mungu n.k.
Imagine mtoto wa Fomu 2 ana smart anashinda mtandaon Masaa Kuanzia matatu , huko anaona Wazungu wanafurahia Ushoga.... huyu mtoto anakuja kua Kiongozi, atauchukia Ushoga??.
Hivi watanzania Tumerogwa na Nani?? Ndo kusema akili ndogo zimetushinda sisi akili kubwa???.
Wizara ya Jinsia ,watoto, wao wamejikita kwenye Kulinda watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia... Wanasahau Kua Mtoto anaathirika Kwa kuona, kusikia sio mpaka atendewe, lkn Wizara haijiangaishi kabisa kuwalinda watoto dhidi ya mitandao ,dhidi ya matumizi simu, kopyuta n.k
Ona sasa,,, Unakuta hapo Mzungu ndio kawaambiaz ili tuwape msaada wa Elimu, ondoeni somo la Biblia mashuleni ..
Kuna Mahali utaipata Hekima na Busara ,mbali na Biblia???.
Kuna akili ya Mwanadamu iwezayo kumtia Mwanadamu Hekima na Busara??.
Hatujakaa sawa, wakati ndo kwanza tunapambana na haya, wenzetu wameshaleta Artificial Intelligence .... Hamna alojipanga kuwaandaa watoto , ukiachalia mbali watu wazima.
Hivi tunaenda kua na Taifa la aina gan, baada ya kizazi chetu Cha miaka ya 1990 kurudi nyuma ,kitakapoisha??.
Daah hii Nchi,..watu wameamua kua MACHAWA KWAAJILI YA MATUMBO.
Imagine, unafuta divinity, Kisha zinaruhusiwa asasi na NGO Toka nje wanakuja kufundisha USHOGA mashuleni.
Mapigo juu ya nchi hayatakoma Kwa mtindo huu!!
UBARIKIWE ndugu!!