dumbi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2018
- 989
- 1,528
Subirini mada kwanza.Japo tunavamia kabla ya Mada, ila wacha tubwabwaje,
Iweje Masikini anapozini na tajiri ,utajiri haumfuati masikini?
Nimesoma boarding tangu form 1, suala la nyeto ni kama vile hakuna mwanafunzi ambae hajapitia huko, leo tuna vibanda vyetu na vi terios kid vyetu.
Nami nasubiri hoja zako.
NB: Kwa maisha ya sasa ukibahatika kuoa bikira basi ukae kijijini, vikija mjini vinakuwaga vicheche zaidi ya kuku wa kienyeji...Mtazamo tu