Ijue nguvu ya Self Esteem maishani mwako!

Unaweza kupima self esteem ya mtu kwa kuangalia mambo machache mfano kuna mstaafu mmoja yeye muda wote anatabasamu tu hata ukimtukana yeye anatabasamu tu maana yake ni kwamba anajiamini sana anajua mambo mengi kuhusu wewe hata rafiki zako na watu wako wa karibu na mipango yako ko anajua namna ya kukuhandle mzee yule ndio maana anaishi maisha marefu na anajua namna ya kuboost self esteem za watu walio na hasira kwa kuwapa keki kidogo hasa hasa ndugu zetu maticha ndio maana humuita shemeji unatuachaje kila anapopita amalipokaribia kumaliza muhula wake
 
egentle kuna mstari mwembamba kati ya self esteem na self confidence, ukiwa na high self esteem automatic unakuwa na high self confidence na ukiwa na low self esteem unakuwa na low self esteem. Mazoezi huwa yanampa mtu euphoria na euphoria inakupa self esteem boost mfano kule jkt kwenye mabio mnakimbia kwa kuimba pamoja unapata euphoria mpaka morali inapanda ndio utakuwa unakumbuka hizo moments lakini stressors zote hua zinashusha self esteem all in all umetoa ufafanuzi mzuri
Yeah, ndo maana hata hapo juuu nikaona niyaweke pamoja, Vina kwenda pamoja sana, like Egg n chicken
 
Nakupongeza kwa kuleta andiko.Mimi nikilipwa mshahara nakuwa na hiyo self esteem ,mpaka naona uvivu kuongea na nawasahau sana watu,mpaka mtu atoe maelezo mareefu ndio namkumbuka.Ila zikiisha nawakumbuka na naongea vizuri tu.Fedha ina mchango upi kwenye self esteem,baba mtaalamu?
Hahaah Language yako ni pesa, find them money. Utakuwa oky sanaa. Hii ni common kwa watu wengi, kuna mtu hata hafanyi matumiz, wala haongi, lakn akiwa na pesa manzi yeyote yule ana mkazia.

Inshort,kuna vitu ambavyo vina add power ya roho , nafsi na akili. Once vikiwepo unajua your back is safe

Moja wapo ni fedha, silaha, Uhakika tu wa jambo, kuwa na alternatives. Yule anayenda kuomba kazi, akiwa kazini, mostyl wanafanya vizuri,cz self esteem na confidence zinakuwa juuu na ana uzika vyema.

Ukiwa Na washakj bar, harafu mtu aka kazingua,hata kama wasipo ingilia confidence yako inaweza sort vitu vyema kabisa.

Ndo maana ukioa, au kuolewa. Wanaume au wanawake unawapata kirahisi sanaaa.
 
Nikipata huo muda WA hivyo basi nitakuwa nimepiga hatua kubwa sana.
najisikia homa mkuu kikawaida huwa sina cha weekend wala weekday ni kazi kazi si unaona tangu jana napost post sema ni vile tu mtu unaamua kushare mawazo humu maana nmekulia humu niko humu jf tangu nkiwa shule mpaka sasa nmekuwa mtu mzima nnafamilia ko hapa jf ni uwanja wa nyumbani
 
najisikia homa mkuu kikawaida huwa sina cha weekend wala weekday ni kazi kazi si unaona tangu jana napost post sema ni vile tu mtu unaamua kushare mawazo humu maana nmekulia humu niko humu jf tangu nkiwa shule mpaka sasa nmekuwa mtu mzima nnafamilia ko hapa jf ni uwanja wa nyumbani
Hili neno ko ndio lugha gani?
 
Kingine.
U can trick mind yako ikajijaza self esteem kwa njia ya kuandika, na ku tick task zako za kila siku. Task yeyote iliyo Kamilika ina boost self esteem na self confidence, yafutayo pia huongeza.

*kufanya jambo gumu
* Kujitanguliza wew kwanza
*Kujifunza kusubiri kuhitajika na ndio ufanya jambo, Sio kujishobokesha na watu wasikupe attention. Sense ya uthamini wako.
  • Mazoezi, na utimamu wa mwili. Zile happy hormones zinazo tiririshwa zina boost na kuondoa stress hormones.
  • Ishi maisha ya ukweli, sio ya uongo uongo, huku nafsi yako ikatafsiri kuwa huu ni uongo uongo.
  • Kujijengea mindset ya wew unatosha, sio challenge kidogo una ruka kuomba msaada wa watu, workmates. Challenge yourself then timiza usiishie njiani anza na zile ndogo ndogo.
*Reach out wenye uhitaji wasio jiweza, ongeza thamani kwaooo utaona matokea yake, Ile sense ya ku add value kwa mtu.
*Expose ktk mazingira ya wew kuhudumiwa. Chana wallet nenda hata hotel kubwaaa, ile kuja kusikilizwa, kuhudumiw, kuvutiwa kiti, kufunguliwa mlango, Subconsciously ina add kitu kikuwa sanaa. Fanya hivo regularly.
*Kikombe chako, kitanda chako, glass yako, nguo zako unazo vaaa, Mazingira ya home, yapandishe hadhi au yaweke smart like mimi ni king au Queen na hapa ndio throne yangu.

*Set standards, mimi siruhusu mtu anifanyie hivi, mimi ni wa hivi, kuwa na Philosophy zako na kanuni zako za maisha kisha zifatee.
* Affirm kila siku wewe ni wa muhimu, thamani.
*Kuwa na imani kubwa , MUNGU ni upendo na anakupenda,hata ufanyeje. Personalize mahusiano yako Na MUNGU, like he is my GOD

Hizi ni chache.
Hii kitu imenisaidia sana
 
Back
Top Bottom