Ijue nguvu ya Self Esteem maishani mwako!

Nipo hapa nasubiri game ya simba, mpira ni kitu kizuri unaboost self esteem unaongeza hamu ya kuishi maswali yote ntajibu baadae leo nmejisikia tu kuwapa kijisehemu cha mambo mengi nnayo yajua kiasi kwamba hua napata shida kuyashusha hapa ila ntakua nawapa mdogo mdogo
 
Je ulishawahi kutizama series ya prison break kisha ukaanza kujiona michael scholfield? Au umewahi kutizama movie yeyote baada ya hapo ukaanza kujiona RAMBO, JACK CHAN au VAN DAME?

Ile hali unayoipata kwa muda kitaalam inaitwa euphoria, na ndio inayo ongeza apetite ya kuishi, upendf na kujithamini (self esteem). Hii hali itakufanya utamani kutizama series/movies nyingine tena na tena.

Je, umewahi kusafiri umbali mrefu kwenda kutizama game ya simba/yanga? Timu hkashinda na ukaripuka kwa furaha na kujikuta unatamani kutizama game zinazofuata tena na tena?

Basi hiyo hari inaitwa euphoria ndio inayo boost self esteem.
Liverpool ikifungwa Kuna Hali mbaya Huwa naipata aiseh!

Ni kana kwamba naonewa na maisha aiseh!so bad!!

Opposite ya hicho !
 
Liverpool ikifungwa Kuna Hali mbaya Huwa naipata aiseh!

Ni kana kwamba naonewa na maisha aiseh!so bad!!

Opposite ya hicho !
asilimia zinashuka timu yako ikifungwa utaanza kujiona ni mtu usiyena thamani au mwenye mikosi hapo itabidi usubiri game inayofuata au uboost self esteem kivingine mfano kucheki movie masumbwi siasa n.k endapo liverpol ataendelea kukandwa utajikuta unaachana na EPL
 
Back
Top Bottom