Ifike wakati shule zote za Secondary ziwekewe uzio

Ukizungumzia shule nyingi ni kweli uzio hazina ila kuhusu Schools nyingi zina uzio, kwahio jitahidi upeleke mtoto wako kwenye zile schools! Eg. Feza Schools huko hamna trespassing
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, wale pesa wanatoa wap tukazichkue tupeleke watot shule za maan, hizi zisizo na fensi tuachane nazo mkuu
Hahahaha!!! Tanzania kuna bonge la gape baina ya maskini na matajiri ila utawala hautaki kusikia kuhusu hili.
 
kumbe hujaelewa bwan,,mkiweka fence watoto hawatahudumiwa huduma muhim kwaio n kuanguka tu au hujawah faham ilo๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mkuu nimegundua huna mtoto na kama unaye basi si wa kike, na kama ni wa kike basi hajaanza hata shule. (Ila sidhani kama una mtoto wewe)
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mkuu nimegundua huna mtoto na kama unaye basi si wa kike, na kama ni wa kike basi hajaanza hata shule. (Ila sidhani kama una mtoto wewe)
tufanye sina ila namim nmesoma ujue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,,iv ushawah jiulza mbon shule za girls tu hua wanafanya mpango wa visherehe na shule za karibu za boys tu,, unafkir n wajinga
 
tufanye sina ila namim nmesoma ujue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,,iv ushawah jiulza mbon shule za girls tu hua wanafanya mpango wa visherehe na shule za karibu za boys tu,, unafkir n wajinga
Visherehe sio vibaya, walau hao ni wanafunzi wenzao, sio manakijiji yanatoka na kuni zao mtaani yanaenda tu bwenini kuwasha moto. Majiko mengine bado mabichi, hayajakauka vizuri.
 
Back
Top Bottom