Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N

atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata kutembea kwa shida sasa na iyo ngozi ndo kabisa.

View attachment 2973086View attachment 2973089
Uwezekano mkubwa ni maambukizi ya mange mites. Yanatibika. Suluhisho ni kutafuta mtaalamu wa tiba ya amshughulikie.
 
Mkuu huwa unachinja kuku? Mbuzi? Unaweza kuwaumba?
Hilo la kumuua mnyama au ndege kwa madhumuni ya kitoweo si kosa/dhambi.Kama haitoshi,wenye imani kidini (Mungu) wanaelekezwa kuwatumia kwa chakula kwa kuwachinja.Hiyo ni tofauti na kupiga/kuchinja kwa madhumuni ya kupoteza uhai tu.
 
Sasa mbwa upo naye hapo si umuulize mwenyewe ana changamoto gani?

Unamuonea huruma huku unataka kumuua? Kwa nini usingesema natamani hata nimpeleke kwenye sehemu za kutoa huduma za wanyama akahudumiwe na kulishaa kwa gharama zako?

Huruma ya kuua? Huo ni UKATILI.

Bora asiyemjali. Kuliko wewe unayedai kumuonea huruma huku unataka kumdedisha.
Wewe hujanielewa; nimekwambia anaonekana yupo kw maumivu makali na anaonekana mgonjwa; kwani hata euthansia c wanapewa wagonjwa ambao wapo kw mateso na maumivu makali ambao hawawezi kupona ila wanawasaidia kuondoka vizuri. Wapi nimesema nataka kumuua km unavyodhani? Kila kiumbe kitakufa na mbwa lifespan yao ndogo zaidi.
 
Mbwa wa mtaani huyo, alafu wanakuwa wepesi sana kuwamiliki.

Unamdanganya na vyakula kila siku anahamia kwako.

Unamtafuta daktari anamtibia akikaa miezi miwili huwezi kuamini kama ndio huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom