Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

Kwahiyo kwenye kuokoa gharama hamna pesa ya maana inayookolewa...Gharama utakazotumia Japan ni almost hizo hizo utatumia ukinunua SA. Njia ya SA sounds very scary mkuu,risk za ajali na kutekwa na majambazi,nadhan ndio maana watu wengi wanaona hela Japan.
Unaokoa freight cost muda pia utapata gari lako ndani ya siku tatu hadi nne, utakoa gharama fula ndogo lakini ushuru mkuu.

Mambo ya ajali na ujambasi sio kweli.
 
Back
Top Bottom