Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

IMG-20240319-WA0000.jpg
 
Kwa uzoefu wangu,Magari ya Kisouth Africa sio rafiki kwa mtu anayenza maisha.

Nfano unaweza kununua Lend Rover Discovery 3 kwa bei ya 15ml pamoja na usafiri,ukalipia ushuru 17ml jumla 35ml,likizingua buster zake linagoma kunyanyuka juu likishuka chini linataga mazima uwezi kulitoa ,bei ya buster 4 hapo dar nikati ya 4ml lakini ukifunga mkataba unaweza tumia zaidi ya miaka minne.

Kama unaanza maisha bora ukaangalia Japan spare zake zipo nyingi used pale ilala na mikoani, bei zake ni ndogo ukilinganisha na spare za Land Rover,Ford au 4Turner na Hilux . Pia Spare za Toyota za kisouth zinagoma kuingilina na Toyota ya Japan.

Magari ya kisouth spare zake hapo dar zipo nyingi pia, lakini sio bei rafiki kwa watu wenye kipato kidogo.

Kwenye ubora,ugumu, confability magari ya kisouth ni magumu sana mazuri,yametengezwa kulingana na mazingira ya barabara zetu za kiafrica ukilinganisha na magari ya Kijapan.
Na wewe kwann ununue gari nzuri halafu uiharibu? Gari si unaitunza tu unaendesha taratibu hauipitishi barabara za hovyo yaani unaipenda.
 
Nimejaribu kuingia kwenye website naona kama ina vitu vingi hadi nashindwa nibonyeze wapi. Yaani sio kama vile website ya beforward au SBT ambayo unaenda straight kwenye catalogue unachagua kopo lako, unacheki details, unapress buy now kuanza process ya kulinunua.

Sasa labda sijui nitapataje namna ya kuwasiliana na wewe ambayo ni direct kwasababu issue ni kupata bidhaa na kuilipia na kupata utaratibu wa kuipata mikononi.
 
Mkuu utaratibu ndio huo,ingia jisajili fungua thread yako tuambie unahitaji kitu gani utahudumiwa,website zote aziwezi fanana nana ya be forward kwasabu huduma zinatofautiana.
 
Mkuu kuna mambo naona bado hujaweka sawa,mfano hizi gari ndogo kama SUBARU FORESTER tunajua kuagiza japan inaweza cost mpaka milioni 23 je Kwa SA mpaka inafika bongo unaweza okoa kiasi gani? IST hizi za milion 18 kutoka japan ukileta kwa barabara from SA unaweza ifikisha Bongo kwa kiasi gani? kama hujapenda mifano yangu naomba tupe mifano yako kwa gari hizi za chini ya milioni 20 ni kiwango gani unaweza kuokoa ukileta Tz kutoka SA kwa barabara.
 
Naomba kufahamu huu,Kuna njia zipi ambazo zinaweza kufuatwa ili kupunguza pakubwa gharama ya Ushuru wa TRA wa kuingiza gari? Kuna mwanya wowote wa msahama wa kodi ambao ni halali tunaweza kuutumia? Mfano nimesikia watumishi wa serikali wana msamaha ukifuata taratibu,watu wa makanisa etc....Swali langu hili nataka uniambia mianya ya namna hiyo ambayo ni halali yeyote unayojua ili tuone kama tunaweza kutumia kupata msamaha.
 
Custom ndio hao TRA ukipita bandarini wapo ukipita boda wapo wanatumia nfumo moja labda utapata unafuu kama ifutavyo.
1.Gari likaa mwezi na zaidi bahari ukitumia njia ya ya barabara ni siku tatu hadi nne Gari liko boda.
2.Meli ikifika bandarini uchukua zaidi ya siku sita baada kushusha na na kulipia kilakitu boda ni masaa mawili hadi matatu.
3.Boda hakuna port charges
4.Hakuna storage
5.Hakuna kodi ya rent na baadhi ya kodi ambazo utwa na mamka ya bandari.
6.Hakuna mambo ya kutozana pesa za Delivery Oder
 
Kwahiyo kwenye kuokoa gharama hamna pesa ya maana inayookolewa...Gharama utakazotumia Japan ni almost hizo hizo utatumia ukinunua SA. Njia ya SA sounds very scary mkuu,risk za ajali na kutekwa na majambazi,nadhan ndio maana watu wengi wanaona hela Japan.
 
Back
Top Bottom