antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 45,019
- 121,422
Kwani kutakuwa na wasanii wa bongo fleva humo?Rais Magufuli leo analifungua bunge la 12 rasmi kwa kulihutubia taifa.
Watanzania wameisubiri kwa hamu siku hii ili wamsikie kiongozi mkuu wa nchi baada ya ushindi mkubwa aliopata kwenye uchaguzi mkuu.
Tukio hili litakuwa mubashara kwenye runinga zote za ndani.
Maendeleo hayana vyama!
Kwanza akajifunze demokrasia huko Kenya