Hizi Hapa Nchi 15 Zenye Wanawake na Wadada warembo Zaidi Africa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,995
50,713
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women

1. Ethiopia

2. Nigeria

3. Tanzania

4. Kenya

5. South Africa

6. Ghana

7. Zimbabwe

8. Egypt

9. Congo

10. Cote d'Ivoire

11. Rwanda

12. Somalia

13. Morocco

14. Namibia

15. Cameroon

Source: Insider Monkey

My Take

Ni Uongo kusema Kenya Ina wanawake wazuri kushinda Rwanda.

Namba 2 na 4 ilitakiwa iwe Rwanda na Somalia.
 
Wanao ongoza kujichubua ni wa Congo na Watanzanua
 
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women

1. Ethiopia

2. Nigeria

3. Tanzania

4. Kenya

5. South Africa

6. Ghana

7. Zimbabwe

8. Egypt

9. Congo

10. Cote d'Ivoire

11. Rwanda

12. Somalia

13. Morocco

14. Namibia

15. Cameroon

Source: Insider Monkey

My Take

Ni Uongo kusema Kenya Ina wanawake wazuri kushinda Rwanda.

Namba 2 na 4 ilitakiwa iwe Rwanda na Somalia.
Pia Morocco ilitakiwa iwe 1 au 2
 
1.South Africa (Kuna sampuli za wazuri aina nyingi) Weusi-mamodo, Weupe-Wenye mashape ya hatari, wa maji ya kunde, Wanene, wastani na wembamba.

2.Tanzania (Kuna sampuli ya wazuri aina zote, Weusi, chokolate, weupe, wanene, wembamba, wastani, wenye mafiga ya kuvunja chaga, warefu, wafupi.. yaani kila sampuli… Kuna wanaofanana na waSouth, WaRwanda, Wasomali, waarabu, waEthiopia/Eritrea. Tz ni nchi isiyo na identity/haina mwenyewe.

3.Rwanda/Burundi (Wazuri sana, wengi ni wa aina moja kwa maana ya warefu, wana shape zao nzuri, mara nyingi ni weusi na wachokolate. Rwanda na burundi kuna sampuli mbili za wanawake na hawafanani hata kidogo, hii ndio inawapunguzia maksi, wangefaa kuwepo namba 2.

4.Ethiopia (Wazuri sana, wanafanana kwa kiasi kikubwa)

5.Somalia (Wazuri sana, walio wengi wanafanana.

6. Eritrea (Wazuri sana, wengi wanafanana)

7.Moroco/Egypt (Wazuri, waarabu, Wengi ni wa aina moja)

8. Botswana/Namibia ( Wazuri, kiasi wanaendana na wasouth)

9. Kenya ( Wapo wazuri, wa aina 3 tofauti)

10. Nigeria ( Recently wamejitahidi kuchanganya damu wamezaliwa wazuri, na pia tuwapongeze wengi wamefanya cosmetics surgery, kwahiyo wanalipa/wanavutia)
 
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women

1. Ethiopia

2. Nigeria

3. Tanzania

4. Kenya

5. South Africa

6. Ghana

7. Zimbabwe

8. Egypt

9. Congo

10. Cote d'Ivoire

11. Rwanda

12. Somalia

13. Morocco

14. Namibia

15. Cameroon

Source: Insider Monkey

My Take

Ni Uongo kusema Kenya Ina wanawake wazuri kushinda Rwanda.

Namba 2 na 4 ilitakiwa iwe Rwanda na Somalia.

Kwamba South Africa namba ngapi??
Acheni masihara
 
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women

1. Ethiopia

2. Nigeria

3. Tanzania

4. Kenya

5. South Africa

6. Ghana

7. Zimbabwe

8. Egypt

9. Congo

10. Cote d'Ivoire

11. Rwanda

12. Somalia

13. Morocco

14. Namibia

15. Cameroon

Source: Insider Monkey

My Take

Ni Uongo kusema Kenya Ina wanawake wazuri kushinda Rwanda.

Namba 2 na 4 ilitakiwa iwe Rwanda na Somalia.
Kwani uzuri wa mwanamke unapatikanaje?
 
Dah kina Wanja wameshika no 4 kweli maajabu hayaishi.

Anyway niliwahi kufika uwanja wa ndege wa cairo, nikiwa naelekea elsewhere, aise zile pisi za misri ni sijawahi ona aise! Yaani kuanzia wahudumu wa uwanja, askari, abiria, unajiuliza hivi huyu nikimpata naanzia wapi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom