Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
2,619
4,429
Top most visited African countries by Tourists


1)- Morocco 🇲🇦 13.2 million visitors

2)- Egypt 🇪🇬 11.3 million visitors

3)- South Africa 🇿🇦 11.5 million visitors

4)- Tunisia 🇹🇳 8.3 million visitors

5)- Zimbabwe 🇿🇼 6.3 million visitors

6)- Côte d’Ivoire 🇨🇮

7) - Uganda 🇺🇬

8)- Kenya 🇰🇪

9)- Mauritius 🇲🇺

10)- Eswatini 🇸🇿

NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available

Source: Medium.com
 
Miaka yote, Tanzania haijwahi kuwa kwenye top 5. Tanzania haina ubunifu, vivutio vyake vya utalii havijaboreshwa, hivyo kukosa mvuto. Yaani mtalii aje achungulie tu mikia ya twiga, simba na fisi, kisha akalale!!

Vivutio vyetuni too simple, hakina package.

Nenda hata Brazil kusiko hatana mbuga ya wanyama, lakini ile package mtalii anayopewa for relaxation, atatamani aende kila mwaka.
 
NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available
Hizo 6 hadi 10 futa basi kama hamna figures kamili, Uganda yenye Tembo na Sokwe tupu bila bahari haiwezi kuizidi Tanzania yenye mbuga kibao na wanyama wa kila aina kwa idadi ya watalii. Na kama huna figure kamili umejuaje ipi ni namba 6 na ipi ni namba 10!??..., wakati mwingine ni bora kusoma vitu sehemu ukaviacha hukohuko kuliko kukimbilia kuvipaste sehemu nyingine.
 
Top most visited African countries by Tourists


1)- Morocco 🇲🇦 13.2 million visitors

2)- Egypt 🇪🇬 11.3 million visitors

3)- South Africa 🇿🇦 11.5 million visitors

4)- Tunisia 🇹🇳 8.3 million visitors

5)- Zimbabwe 🇿🇼 6.3 million visitors

6)- Côte d’Ivoire 🇨🇮

7) - Uganda 🇺🇬

8)- Kenya 🇰🇪

9)- Mauritius 🇲🇺

10)- Eswatini 🇸🇿

NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available

Source: Medium.com
Hiyo source ya hovyo
 
Hizo 6 hadi 10 futa basi kama hamna figures kamili, Uganda yenye Tembo na Sokwe tupu bila bahari haiwezi kuizidi Tanzania yenye mbuga kibao na wanyama wa kila aina kwa idadi ya watalii. Na kama huna figure kamili umejuaje ipi ni namba 6 na ipi ni namba 10!??..., wakati mwingine ni bora kusoma vitu sehemu ukaviacha hukohuko kuliko kukimbilia kuvipast
Takwimu hupingwa kwa takwimu acheni uropokaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom