Kumaanisha nini sasa?😂😂😂 wanakuja watakatifu wa majukwaani,, subiri
Kei ni kei 😂😂😂Kumaanisha nini sasa?
Mambo vp?Ko una taka na wewe uanze kutupiga mizinga ehh🤔🤒
Shwari kaka, ana zingua kambi huyu 🤓 🤣Mambo vp?
Kwaio jamaa anataka aanze piga vizinga 😂😂
kerubiii🤣😁Kazi anaiweza mkali mwenyewe wa hizo kazi 😂
Mbona hamtuambii 🤣🤣🤣Hukupewa onyo piem? 🤣🤣
Good Afternoon IB
Mm nlikua Tanga yeye Kilimanjaro...hiyo nayo ilikua challengeUlikuwa huishi nae
Kwa malaya anaejiuza ni sawa ila kuna vinavyojifanya sincere halafu ni vinyambisiMimi nshafuata ushauri wa Kondeboy & Ibraah kitambo sana kabla hata hawajashauri (japo kondeboy bado anatolewa kamasi mpaka na mishangazi).
Huwa sina time ya kumiliki wala kumilikiwa na demu yeyote, hivyo stress za ujinga huwaga nazisikia tu kwa wana.
Nikikutana na malaya mimi kazi yangu ni kupeleka moto tu na kupita hivi, ana mpenzi ama hana hizo huwa si shida zangu.
umaskini utakufa nao vipi wakati watu wenye pesa zisizo na kazi tupo?
😅😅😅Hayo hayakuhusu mkuu. Wewe fanya kilichokupeleka kwa mwanamke endelea na mambo mengine. Halafu ukiwa unajitambulisha sema"Mimi ni mwanaume" siyo 'am boy. Boy wana chululuu siyo uume na hawapaswi kujiingiza kwenye masuala ya ngono.
Mimi nshafuata ushauri wa Kondeboy & Ibraah kitambo sana kabla hata hawajashauri (japo kondeboy bado anatolewa kamasi mpaka na mishangazi).
Huwa sina time ya kumiliki wala kumilikiwa na demu yeyote, hivyo stress za ujinga huwaga nazisikia tu kwa wana.
Nikikutana na malaya mimi kazi yangu ni kupeleka moto tu na kupita hivi, ana mpenzi ama hana hizo huwa si shida zangu.
My man gives me everything! Everything mkuu Sina Sababu ya kudanga na haitokuja tokea na hata asingekua yeye Bora nipambane na shida Zangu ila sio kuuza utu wangu for moneyumaskini utakufa nao vipi wakati watu wenye pesa zisizo na kazi tupo?