Hivi ukipewa loan unaweza pewa na boom

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,031
2,632
Habari wapendwa poleni na majukumu naenda direct kwenye mada batch ya kwanza ya heslb imetoka Mungu si trump nami jina langu nikaliona sasa ndo Niko nasubilia ni asilimia ngapi ili sisi walala hoi ndugu wachange ili niweze kupata elimu ya juu. Hivi kama jina lako lipo kwenye heslb unaweza pata loan na boom au iko vipi ? Hapo.nawasilisha
 
Ushapata kila kitu ndugu yangu nenda kanisani kamshukuru Mungu
 
Habari wapendwa poleni na majukumu naenda direct kwenye mada batch ya kwanza ya heslb imetoka Mungu si trump nami jina langu nikaliona sasa ndo Niko nasubilia ni asilimia ngapi ili sisi walala hoi ndugu wachange ili niweze kupata elimu ya juu. Hivi kama jina lako lipo kwenye heslb unaweza pata loan na boom au iko vipi ? Hapo.nawasilisha
Boom ipo ndani ya loan ndugu
 
Tumsaidie tu mdogo wetu. Boom ni ile hela inayoingia kwenye account ya mwanafunzi. Kama jina lako lipo hata kama una asilimia 0% hiyo hela ya meals and accommodation utapata. Ila kwenye ada (tuition fee) hapo utalipia kulingana na % ya mkopo ambayo utatakiwa kulipa. Pia kwenye practical training (field) na faculty requirements (Vifaa) utapewa kulingana na asilimia ya mkopo uliyopewa
 
Watu msijifanye hamjamuelewa huyu dogo..

Jibu ni kwamba ukishapata loan(jina lako likitokea kwenye list ya waliopewa mkopo) automatically unakuwa umepata boom(pesa ya kujikimu) lote kama watu wengine lakini ada ya chuo itatokana na percentage za loan ulizopata.
 
thanks mkuu
 
Huyu nae ni mhitimu wa kidato cha sita.
kazi kweli kweli!
Hivi kwanza boom ni nini?
nijuavyo kuna:-
meal allowance.
books and stationery
special facult requirements.
Tuition fees
FPT.
sasa nifafanunulie kwa hivyo hapo boom ni kipi na kwanini kiitwe boom?
thanks usikijua ni kama usiku wa giza
 
Huyu nae ni mhitimu wa kidato cha sita.
kazi kweli kweli!
Hivi kwanza boom ni nini?
nijuavyo kuna:-
meal allowance.
books and stationery
special facult requirements.
Tuition fees
FPT.
sasa nifafanunulie kwa hivyo hapo boom ni kipi na kwanini kiitwe boom?

Isijifanye mjuaji sana Meal and allowance ndio tunaita Boom labda uwe ujapita chuo, ila ni msamiati wakawaida chuo.
 
Back
Top Bottom