Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

Picha ya kupamba uzi

Mwanaume atabaki kuwa mwanaume
20240411_011213.jpg
 
Na mara nyingi wanawake nao hugeuka nyuma kuangalia kama umegeuka. Hivyo Ngoma ni bila bila.
Kuna ile unatamani kugeuka ila unaogopa watu hadi mzigo unatokomea, roho inauma sana.🤣🤣
 
Inategemea Mimi jinsi nilivyo huwa sigeuki nyuma kumtazama mwanamke haijalishi anafananaje

Pia nikikuta watu wanashangaa au kupiga mwizi au wanagombana huwa sisimami hayo maeneo .

Hii ni kanuni nime-Apply wayback

Ni vizuri kutoa attention sehemu sahihi ili kuepuka kuwa vulnerability.
 
Back
Top Bottom